makomandoo wa idf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Makomandoo wa IDF wajipenyeza ndani ya maeneo ya Hamas na kufanya tukio!

    Kikosi cha Makomandoo wasomi wa IDF kiliingia katika eneo linalodhibitiwa na Magaidi wa Hamas kusini mwa Gaza mapema Jumatano na kumkamata Sabri Abd al-Aal, afisa mkuu wa polisi wa Hamas mwenye cheo cha Aqid, sawa na kanali. Takriban saa saba usiku, kikosi cha takriban Makomandoo 15-20...
  2. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Gaza ni maajabu ya dunia

    Moja ya maajabu ya dunia nayo endelea kushuhudia na dunia inayo endelea kushuhudia ni jeshi la Israel(IDF) ni kuendelea kupigana na Hamas mpaka leo toka 2023 mpaka sasa 2025. Pamoja na hali ya kutisha ya uharibifu inayo endelea Gaza bado jeshi la Israel halijatimiza lengo hata moja lililo...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mkuu kikosi Cha Quds hajulikani alipo. Mara ya mwisho alikwenda Lebanon baada ya kifo cha Nasrallah

    Wadau hamjamboni nyote? Jenerali Esmail Qaani Kamanda Mkuu kikosi maalumu cha Jeshi la Iran cha Quds amepotea na hajulikani alipo Mara ya mwisho alitembelea Lebanon mara tu baada ya kuuawa Kwa Kiongozi Mkuu wa Hezbollah Hassan nasrallah Tokea wakati huo mawasiliano naye yamekatika! Taarifa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Makomandoo wa IDF waokoa Mateka mmoja akiwa amefichwa kwenye handaki na magaidi ya Hamas

    Wadau hamjamboni nyote? Makomandoo wa IDF wamefanya shambulizi la kushtukiza na kufanikiwa kumuokoa Mateka mmoja ndani ya handaki Leo asubuhi Kazi hiyo maalumu ilifanywa na kikosi maalumu cha makomandoo wenye weledi mkubwa almaarufu Navy’s elite Shayetet 13 unit. Hostage Qaid Farhan al-Qadi...
Back
Top Bottom