Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,442
- 12,710
Ezekiel 21;2711/12/2025 when i was sleeping during midnight
I saw β¦οΈ red crystal from the sky was falling toward the road.
One servant of God said
βShe is in the process to have deathβ
Pray for Tanzania πΉπΏ
Proverbs 14:34
"Righteousness exalts a nation, but sin is a reproach to any people."
11/12/2025 when i was sleeping during midnight
I saw β¦οΈ red crystal from the sky was falling toward the road.
One servant of God said
βShe is in the process to have deathβ
Pray for Tanzania πΉπΏ
Proverbs 14:34
"Righteousness exalts a nation, but sin is a reproach to any people."
Uzuri ukipita kwenye platform wanazojadili maandamano hii habari wameipuuzia ht hawaiongelei wanasema afe asife wao hawaitaki ccm..Sio Genz,hawa ni watu wanakuwa wametumwa kuja kufanya spinning na kuwa hamisha watu kwenye hoja ya msingi.
Ukweli ni kuwa the Butcher yupo mzima bado wanasoma upepo atoke vipi.
Japo simuoni akikalia hicho kiti zaidi ya 2026
Eti kinaandikwa mpaka kiingereza ili kuaminishaGen Z tunaannza kujifariji kwa mambo ya kijinga. Tunajipa matumaini hewa
Shida mnamuangalia mtu 1, familia π ngoja nikwambie tuna mautani tunaandika humu btRamli tena!!
Acheni kuwapa watu matumaini hewa au hofu ambayo haipo.
Ezekiel 21;2711/12/2025 when i was sleeping during midnight
I saw β¦οΈ red crystal from the sky was falling toward the road.
One servant of God said
βShe is in the process to have deathβ
Pray for Tanzania πΉπΏ
Proverbs 14:34
"Righteousness exalts a nation, but sin is a reproach to any people."
Asante kwa kunipa matumaini. Maisha yafaa nini bila matumani? Hata wagonjwa wa miwaya wanaishi kwa matumaini ππ»Shida mnamuangalia mtu 1, familia π ngoja nikwambie tuna mautani tunaandika humu bt
kuondoka wataondoka wengi tu huu ndo ukweli ....
...ili mabadiliko yaje kiukweli kuna watu lzm waondoke na wataondoka!
Huyo bi msumi kuondoka kwake wala sio hope /nafuu ya hili taifa
Ye ni sehemu tu ya kutimiza process ya kuzaliwa kwa kitu kwenye Taifa ....
Na ndo uchaguzi mwingine utakuja , lini sijui ila najua tuna 4 state funeral ....2 hazitapishana sn ...pamoja na yote yanayoendelea just wait and see
Change is inevitable....
Ht jana watu mmedanganywa na picha na video ya zaman mkajaa ... ht editing hawajui sijui walienda kusomea ujinga au makusudi , btw hivi habari inaishia tbc tu vyombo vingine km ITV hawatangazi? ,ogopa Mungu na teknolojiaAsante kwa kunipa matumaini. Maisha yafaa nini bila matumani? Hata wagonjwa wa miwaya wanaishi kwa matumaini ππ»
YpTulishasema hawatakalia hivo viti vina damu
Kwa hivyo ni kweli mtu kalamba mchanga?Ht jana watu mmedanganywa na picha na video ya zaman mkajaa ... ht editing hawajui sijui walienda kusomea ujinga au makusudi , btw hivi habari inaishia tbc tu vyombo vingine km ITV hawatangazi? ,ogopa Mungu na teknolojia
π π€£ π π π heehee eti mzima wa afya haya aje msibani jmn tumuone bi msumi......anyway kifo ni kifo tu....
Na vitadumu vitu 3,Tumaini
Upendo na Imani....
Vina muda basiKwa hivyo ni kweli mtu kalamba mchanga?