kina nani hawa

Yaani hawa wameishiwa kwasasa
Nadhani hata mkao wao unajieleza.
 
Utani wa kuudhi! Ngoja waje wapenda soka!
 
naona kama wametaahiriwa au macho yangu angalia kwenye ndude zao
 
at the end of the day WOTE mpo uwanjani !! au siyo ? ofcoz mmoja anatenda haki na kuweka usafi ulivyo Na mwengine
huja na uchafu na kuambukiza maradhi na magonjwa nakuondaka na najisi.... itachukuwa muda hadi kufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…