Kina kaka nawaomba hapa

Sio jambo la busara kumtangaza mpenz wako kw watu hata kama hawamjui, mapenz n siri kati ya watu wawili.. huyo dada kakosea sana n heri angemuuliza huyo jamaa ili amwambie vizur khs ilo sawa na wayamalize wao wenyew na si kuweka kwny mitandao...
 
Huwaga nasema kwa mwanaume rijali bora afe kwa shaba kuliko kuliwa jicho.!!
 
Sasa chumba chote si kitanuka mavi na hili joto la dar
 
Siku zote mwanaume usiruhusu kushikwa makalio
 
Mi naona wanaopenda kufanya mchezo huo na wanaopenda kufanyiwa wote ni sawa na mungu awasaidie waondokane na shida hiyo
 
kweli wewe kantangaze.....so umekuja kutangaza huku roho kwatuuuu......halafu nyie nyie wanawake kwann mambo ya chumbani mnapenda kuambiana..... kesho ukiibiwa bwana unalalama oohh rafiki yangu mbaya.........mwenzio analiwa na punga na anajua sana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…