Kina kaka nawaomba hapa

Je unaweza kabisa kuomba ushikwe na uchezewe sehemu ya tundu la haja Kubwa kwa kigezo kwamba Una enjoy mchezo na mpenzi wako? Huo ni ujuzi wa mapenzi au kuna mengine??

Hahaaaaaaaaaaaaa! Ukiona hivyo antena yake imekaa huko.
Bidada inaweza kula kwake mbele ya Safari-jamaa anaweza kuwa si mzima.
 
Mambo ya sirini yanapotoka hadharani, haya mgroup haya!!!
 
Umeona mbaba.. Mi hata nikiwa na beib tunaoga.. Aguse pote ila kalio langu marufuku asee...
 
Ila Jamani tufikir na upande wa pili... Kina bi dada nao mbona wanapoz zao za ajabu tu na vidume tunaelewa mbona..
Kwa mfano.. Wengine wakikarbia.. Wanaomba umpe ulimi, Wengine umnyonye maziwa.. Umbusu sikoni.. Shingon.. Na Mengine mengi..
Sasa Inawezekana na jamaa nae ni stimu zake tu.. Kama ambavyo na wenzetu hufanya...

Lakini pia kuna best angu alikuwa ananipa stor kuwa demu wake akijua jamaa anaenda kushusha mzigo na mbibie bado.. Mbibie anamtanua makalio jamaa.. Hivyo jamaa hawez kumaliza akiwa ktka hyo hali kias kwamba anamsubir mbibie nae washuke wote
Sex ni uchafu.. Full stop
 
Naona hawajui nini maana ya starehe hii, kufanya mapenzi ni starehe kubwa sana na kila mmoja anachanzo chake cha muhemko! Hakika tunapaswa kusitiriana na wala si kuanikana kama hv, sasa hapa stara iko wapi? Raha ya kuwa wawili katika faragha iko wapi? Mmmhhh Mungu atupe hekima ya kusitiriana tuwapo faragha na wenza wetu!
 
Sex ni zaidi ya uchafu.....it is crazy....kila mtu ana steam yake, heshima inatakiwa sana tuwapo faraghani na wenza wetu, yanini kumchoresha mwenzio ilihali nawe una maajabu yako!! Ila kizazi chetu hiki sijui nani katuroga mpaka tukakosa stara namna hii!!
 
Mimi mwanamke akitaka niache mchezo nimvunje meno kwa makonde apeleke mkono kwenye puru yangu hata kama kajisahau,lazma ataandika kitabu ila huyo jamaa anahitaji msaada
 
Sio jambo la busara kumtangaza mpenz wako kw watu hata kama hawamjui, mapenz n siri kati ya watu wawili.. huyo dada kakosea sana n heri angemuuliza huyo jamaa ili amwambie vizur khs ilo sawa na wayamalize wao wenyew n kuweka kwny mitandao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…