Mangungu
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 2,404
- 3,061
Hii sijaipenda kuna baadhi ya wanawake wame suggest kwamba kuna wanaume wanahitaji kuvaa badge ya lena(Learners) kwenye zipu kwa sababu hawajui mapenzi na hawataki waambiwe hawajui wala hawako tayari wafundishwe kwa sababu wanajiona wanajua kumbe hawajui.
1.Kissing hujui.
2.Touching hujui.
3.Hujui kuweka lovebite.
4.Hujui kukuna kitovu.
5.Hujui 'kunawa bwawani' unazamisha tu kama unaranda Mbao.
6.Hujui A Spot ni nini wala G ilipo.
Na ukipewa midundo yako haieleweki,unaanza kama Hip Hop mara unachanganyia RnB halafu ghafla kitorondo kabla mdada hajaelewa unachofanya ushamaliza. Halafu unatutambulisha,"shemeji yenu huyu anaitwa Sarah"shemeji yetu au mke wetu.
My fellow men go and learn . Na ukiambiwa bado lena usinune, haikusaidii.