kina dada wafundeni wenzenu...!

Humu siku hizi hawapo great thinkers!!lugha na thread zao hazina umakini kabisa!Kuna watu wana jasho ila halina harufu.kuna wengine halionekani hivyo ila linatema.Kwa ushauri wangu ni kuwa watu watumie DEODORANTS!kama ukipata nivea au brut ni nzuri kwa kukausha kwapa na kuleta harufu nzuri.Utapata kwa hata shilingi 4000-5000!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…