Kina dada mnaona uongo wa camera 360"

Uko sahihi kabisa... Mtu anapiga picha na 360 camera afu anai-upload Instagram unamuona bonge la mrembo... Kutana naye sasa... Utajutaaaa kuzaliwa!!!
 
Hahahahaaa ni balaa mambo ya maua haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…