kina dada mnafeli wapi??

kina dada mnafeli wapi??

CHIBA One

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
558
Reaction score
2,100
Kwanza nianze kwa kucheka Maana ni issue inayowatoa watu mapovu sana.

Kuna hii hulka imeanza ya baadhi ya watu Maarufu kukimbilia nchi jiran na kuoa mabinti wa huko, ikiwa hapa kwetu tuna mabinti kibao, ilianza kidogo kidogo lakin sasa naskia hata watu wasio maarufu wakihamasishana kwenda kutafta majiko nchi jirani...

Najiuliza sana Dada zetu wa kibongo kwani mnafeli wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sisi wenyewe tunawakimbilia nchi za jirani siolewi na m'bongo mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi mwenyewe naona nlijichanganya sana kuolewa na mwanaume wa bongo.... Ngekuwa bado km.ningekosa nje bora tu niwe single kuliko kuolewa humu nchini
Umeona wanatabia fulani hv ya kufanana, kama ushawahi kuwa na mahusiano m'mbongo mkaachana then ukapata mwanaume sio m' bongo hata kama mkiachana hutoka kaa umtamani m'bongo hata kama kuna mapungufu lakini m'bongo too much

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom