Kina dada kulipa mahari?

Hicho kiherehere niliacha zamani sana, nilikuwa najifanya mapenzi nimeyavumbua mimi😱saizi kila mtu apambane na maisha kivyake! Siwezi aisee..
 
KWa boyfriend ambaye hamna strings attached, sawa. Ila kwa mume wa ndoa, Nasema, utakuwa unakosea sana. Heshima ya mke ni pamoja na kujitoa kwa ustawi wa familia hususan kiuchumi
 
Kuna mtindo ambayo inatrend sana swala la kina dada kujilipia mahari ,
Swali ni kama dada unaeza msadia mpenzi wako kulipa mahari
Na wewe
Kaka unaeza kubali mpenzi wako kukulipia ama kukusaidia kulipa mahari
Nipe maoni yako
Kwa nini mahari iwepo?
 
KWa boyfriend ambaye hamna strings attached, sawa. Ila kwa mume wa ndoa, Nasema, utakuwa unakosea sana. Heshima ya mke ni pamoja na kujitoa kwa ustawi wa familia hususan kiuchumi
Sawa sikatai ila sio kujitolea mahali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…