Kina dada kujeni huku!

Penye hao ndio pa kupigwa chabo, tustahamilie kyanakyomuhaya!
 
Wenyewe wapo outing wakirudi utasikia vishindo vyao tu..
 
Unaponunua kanga kinachokuvutia ni nini?

Ni:
(1) = pindo
(2) = mji
(3) = jina


View attachment 81788

Naanika kanga zangu zote!!

umenikumbusha mbali sana ilikuwa mwaka 2001 nilipomsindikiza beki tatu wetu pale rems kuchagua khanga mi livutiwa na michoro yake nikamshauri achukue kuja kusoma maneno yake tukiwa homu nilichoka balaa maana ilikuwa imeandika "Kama vipi mfunge kamba mmeo ili awe wako peke yako" hadi leo ishu za khanga huwa nakumbukia hilo tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…