Kina dada kujeni huku!

Na. 29 ni hiyo:



​
 

Attachments

  • image.jpg
    13.7 KB · Views: 54
Nimepitia katika marobota ya khanga zangu wakati wa ujana, nimehesabu nina pair 150 jamani. Nikipata muda nitazipiga picha niwatumie, zingine zina maneno ya kuelimisha zingine zina mipasho. Hebu kwanza chungulieni hii khanga soveriour.

 
Na. 32 ni hiyo:


​
 

Attachments

  • image.jpg
    7.4 KB · Views: 141
Nyingine
​

​
<fieldset class="postcontent" style="margin: 5px 0px; padding: 0px; border: 0px; word-wrap: break-word; "></fieldset>
 

Attachments

  • image.jpg
    6.1 KB · Views: 166
  • image.jpg
    97.5 KB · Views: 95
  • image.jpg
    714 KB · Views: 101
  • image.jpg
    12.9 KB · Views: 67
  • image.jpg
    12 KB · Views: 71
  • image.jpg
    14.6 KB · Views: 60
  • image.jpg
    13.7 KB · Views: 66
Unaponunua kanga kinachokuvutia ni nini?

Ni:
(1) = pindo
(2) = mji
(3) = jina


View attachment 81788

Naanika kanga zangu zote!!

Swali lako la msingi kwamba mtu anunuapo kanga kinachomvutia ni nini? Ni: (1) = pindo (2) = mji au (3) = jina. Kwangu mimi ni Jina/Ujumbe halafu Rangi; masuala ya mji ni mbele ya safari.
 
Swali lako la msingi kwamba mtu anunuapo kanga kinachomvutia ni nini? Ni: (1) = pindo (2) = mji au (3) = jina. Kwangu mimi ni Jina/Ujumbe halafu Rangi; masuala ya mji ni mbele ya safari.

Mimi ni pindo halafu jina, mji hakuna nafasi
 
Mkuu hii ni kali aisee.
Mimi mwenyewe kikubwa ninachooangalia ni rangi, napenda sana rangi iliyotulia (isiyong'aa) napenda sana rangi nyeupe na maandishi ninayopendelea ni yenye kumsifu Mungu, Mf, Mungu mkubwa, Mshukuru Mungu kwa kila jambo, Mungu apewe sifa, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…