Kina dada, hii ishu nayo kweli eti?

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Murang’a women worried no generation to leave behind

PIX+3.jpg

Children pass a man preparing a local brew. Money earned by the young men hardly reaches home because they spend their wages on alcohol, leaving their children and wives in hunger and desperation.


By JOY WANJA
Posted Sunday, June 27 2010 at 21:58


An unspoken battle of the sexes is rife in this quiet town. The women in Murang’a are deeply saddened by the harm cheap liquors has caused to their sons and husbands.

But the men disagree that the brews are the cause of the region’s social problems. At Gatunyu market, which is surrounded by bars, patrons are freely imbibing and others are staggering home.

Gender minister Esther Murugi said in Parliament recently that women were complaining their men were weak. “The men from Central Province cannot sire children,” said the Nyeri Town MP.

Unemployment was cited as the major hindrance by the men while the women tell another tale: laziness. Money earned by the young men hardly reaches home because they spend their wages on alcohol, leaving their children and wives in hunger and desperation.

“The young men drink from dawn to dusk and come home at midnight banging doors demanding for food they did not provide,” one middle aged woman at Ndutumi area told the Nation last week.

Assistant minister for Provincial Administration Simeon Lesrima spoke of the problem during a recent visit. “Central Province has become the dumping ground for cheap liquors manufactured in Nairobi, causing untold suffering especially on the youth,” he said.

But the women say they are fighting a losing battle because the number of bars seems to increase by the day. And, their condition to persons wishing to vie for a political positions in the area in the upcoming elections: “Get rid of the alcohol, you get our vote!”

Some mothers are worried that their sons have hit 40 years with no signs of marriage in sight. A dangerous trend is slowly setting in as old married men are preying on their girls. “Sugar daddies are lying to our daughters,” they say.

Schools in the area have also reported a significant drop in pupil enrolment, a fact Central provincial director of education Patrick Nyagosia confirmed.

Kindergartens and lower primary classes are experiencing low enrolment in areas like Gatanga and Murang’a. Stephen Githae’s grandmother is still mourning his death after a drunken stupor. Thirty six-year-old Githae was not married and spent most of his time drinking.


Daily Nation:*- News*|Murang
 
some times ni kwlei kabisa, baadhi ya wanaume wamekua wakiendekeza pombe na kusahau majukumu yao, nina marafiki wengi ambao ni victims wa hizi bar. mwanaume utakuata ameoa na anawatoto lakini hawezi kuwapa matunzo kwa sababu atadai hana pesa hajui wanakula nini au wanavaa nini. lakini wkati huo huo atarudi nyumbani usiku na akiwa amelewa je hizi pombe atakua anazipata bure? kile kidogo anachopata ndicho anamalizia kwenye pombe.
 
Pombe ina raha zake lakini the bad side of it inatisha hasa kwa watu wenye maisha ya daraja la chini kutokana na kunywa pombe zisizoeleweka
 
pombe inaathiri familia nyingi sana............unakuta wanaume wanajisahau kama wanatakiwa kuwacha pesa za matumizi ya mtoto, au kupanga future ya mtoto itakuwaje. yeye pesa anaenda kupunguza machungu ya siku bar.
at the end of the day hajisaidii yeye wala familia yake
 
some times ni kwlei kabisa, baadhi ya wanaume wamekua wakiendekeza pombe na kusahau majukumu yao, nina marafiki wengi ambao ni victims wa hizi bar. mwanaume utakuata ameoa na anawatoto lakini hawezi kuwapa matunzo kwa sababu atadai hana pesa hajui wanakula nini au wanavaa nini. lakini wkati huo huo atarudi nyumbani usiku na akiwa amelewa je hizi pombe atakua anazipata bure? kile kidogo anachopata ndicho anamalizia kwenye pombe.
..Wakati mwingine wanawake ni chanzo cha wanaume wao kuhamishia mapenzi kwenye pombe. Utakuta mwanamke hekima na busara zimempita kabisa hana appreciation kwa lolote atakalofanyiwa na mumewe kisa eti anataka kumdhibiti mumewe. Kwani mkiongea na mumeo na kuweka mambo yenu sawa nyie wawili unadhani mwanaume atakuwa busy na mipombe?? Tabu ndio hiyo mwisho jamaa linaona bora akitoka kwenye kazi zake anapitia bara anameza vitu vyake akifika home ni usiku mkubwa anapenya kwenye chandarua lukwiri anatimka!!!!
 
Back
Top Bottom