Kimya kimeghubika nchi

Kimya kimeghubika nchi

JET SALLI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
2,993
Reaction score
2,034
Ushabiki ni jambo zuri sana kama haki, ukweli na uwazi vitatawala.

Hata ukiwa na furaha kama una msiba ni msiba tu,unaweza kucheka lakini kidonda kilichopo moyoni kitakutesa tu, mshindi ni mshindi tu na mungu ndiye aongozaye mambo yote.

"Maandiko matakatifu yanasema bwana asipoulinda mji wanaoulinda wanakesha bure" kama ushindi huu ni wa Magufuli basi taifa litapata neema na kama sio wake tutarajie laana daima.

Mungu afanye kazi yake kadiri ya mapenzi yake.
 
Thamani ya Kura Kwa TZ Imepotea Kabisa.Wasimamuzi na Watu Wa tume wamekuwa Ndio Wanye Haki ya kututeukia Kiongozi wantakae.

Umuhimu Wa Kupiga Kura Hapo tTena..tuwaachr watawaka wateuane..
 
USHABIKI NI JAMBO ZURI SANA KAMA HAKI,UKWELI NA UWAZI VTATAWALA.HATA UKIWA NA FURAHA KAMA UNA MSIBA NI MSIBA TU,UNAWEZA KUCHEKA LKN KIDONDA KILICHOPO MOYONI KITAKUTESA TU,MSHINDI NI MSHINDI TU NA MUNGU NDIYE AONGOZAYE MAMBO YOTE."MAANDIKO MATAKATIFU YANASEMA BWANA ASIPOULINDA MJI WANAOULINDA WANAKESHA BURE"Kama ushindi huu ni wa Magufuli basi taifa litapata neema na kama sio wake tutarajie LAANA DAIMA.MUNGU AFANYE KAZI YAKE KADIRI YA MAPENZI YAKE.
Umenena kweli tupu JET SALLI kama ilivyo kawaida yako hapa jf, maana bandiko zako zinanifurahishaga sana. Ila kitu kimoja: Kwa nini pamoja na uelewa wako wote leo umetumia herufi kubwa? Binafsi inanikera.
 
Last edited by a moderator:
Lowasa ndiye aliyeshinda kura kwa kupata kura zaidi ya miiilioni kumi. Kikwte, mkapa na makamba wamepindua nchi!. Hawa ni mahaini.
 
Hatimaye watanganyika munaelewa machungu waliopitia wanzanzibari tangu 1995. Mapambano yanaendelea hakuna kurudi nyuma. HAKI.
 
TUNATAKIWA KUJUA HAKI YETU KWANZA NA TUELEZWE KWA NN SS HATUNA RUKSA YA KUCHAGUA TUMTAKAE 2010 tulimkataa kikwete akaletwa kwa nguvu amewafanyia wanatanzania ujinga wake ameondoka.SWALI KUBWA SANA NA LA MSINGI NI JE TUTAENDELEA KUVUMILIA UBAKAJI HUU Unaoratibiwa na Mkapa na kundi lake MPAKA LINI?
 
Furaha haipo bila kuwepo filikunjombe
 
Umenena kweli tupu JET SALLI kama ilivyo kawaida yako hapa jf, maana bandiko zako zinanifurahishaga sana. Ila kitu kimoja: Kwa nini pamoja na uelewa wako wote leo umetumia herufi kubwa? Binafsi inanikera.

Isikukere Shieka ninafurahi kuwa tupo pamoja daima kuhoji haki ya msingi iliyo mama na baba wa AMANI.
 
Last edited by a moderator:
Lowasa ndiye aliyeshinda kura kwa kupata kura zaidi ya miiilioni kumi. Kikwte, mkapa na makamba wamepindua nchi!. Hawa ni mahaini.

Mwambieni Tundu lissu akamuapishe Njia panda ya himo
 
Mwambieni Tundu lissu akamuapishe Njia panda ya himo

Tutafika mahali pa kutengana hata kwenye huduma. Utasikia huyu ni ccm. Na huyu ni ukawa. Tutatengana. Na hii inasababishwa na dhulma na kejeli mnazoziendekeza. Chuki ya binadamu huwa haiishi hata atakaporidhika. Usishangae ushirikiano ukapotea. Hatuwezi kumwaga damu lakini ubaguzi ni vita mbaya zaidi ya kuuana. Utafika mahali hawakuhudumii na hata kama unanunua hawakuuzii sababu wewe ni wa itikadi fulani. Shangilieni mkidhani mnamkomoa mtu kumbe unachoma nyumba ambayo umo ndani.
 
Ukawa ınabidı muelewe kuwa wana-CCM wengi hawana mihemuka km yenu.Mm nilikuwa wakala,sıkuamini kura zilizokuwa zikipatikana upande wa Lowasa kwa hapa Dar.Watu walikuwa ni mihemuko kupitiliza,sasa nikawa najiulıza mbona sioni kura za mafuriko?Wabongo wanafiki sana na wapenda midundiko.
 
Chama jizi hutengeneza na hufuga majizi daima.
 
Barabarani watu wamenywea balaa. Kuna wamama wa ccm hapo wakawa wanasema bora magufuli kashinda manake huku kusingepitika
 
Tutafika mahali pa kutengana hata kwenye huduma. Utasikia huyu ni ccm. Na huyu ni ukawa. Tutatengana. Na hii inasababishwa na dhulma na kejeli mnazoziendekeza. Chuki ya binadamu huwa haiishi hata atakaporidhika. Usishangae ushirikiano ukapotea. Hatuwezi kumwaga damu lakini ubaguzi ni vita mbaya zaidi ya kuuana. Utafika mahali hawakuhudumii na hata kama unanunua hawakuuzii sababu wewe ni wa itikadi fulani. Shangilieni mkidhani mnamkomoa mtu kumbe unachoma nyumba ambayo umo ndani.

Nakwambia mimi siku ametangaziwa ushindi magufuli nlikuwa safar kwenye private car moja hv tukaanzsha ubish na njemba moja kuhusu matokeo ya NEC ya kupika,, hyo jamaa nusra tuchapane makonde baada ya kusema anauwezo wa kunshusha porini kwa vle nchi tayar wanayo,, niljaa sumu ya swira hatar tupu... hapo ndo upendo btn us is falling apart
 
kimya sanaa... Afu kumbe tz haina amani ila ni uvumilivu tu wa malofa, sasa ngoja wawatibue na wanajua haki haiombwi inatafutwaaaa.....
 
Back
Top Bottom