Kimya hiki kina mshindo wake mkuu

taandika sana mashairi mwaka huu,tusahwajua nyie kuwa nanyi ni ukoo wa PANYA....hata mumchukue nani URAIS sahauni,na uroho wa madaraka wa viongozi wenu utawaponza. MLAANIWE KABISA KWASABABU MNACHOKIHUBIRI SICHO MNACHOKIISHIO NA KUTENDA.
 
Dr slaa ndiye habari ya mujini,

Ushahidi wanao watu wa NEC waliolazimika kufuta website yao ili kuficha mkanganyiko wa matokeo waliyoambiwa kutangaza Vs matokeo halisi vituoni!

Au wamuulize yule mgombea wa CCM aliyekuwa waliyemwita kuwa ni chaguo la Mungu namna alivyoshushwa na Dk. Slaa.

Au wamuulize Kinana ambaye 2010 siku aliposikia kuwa Dk. Slaa ndiye mgombea wa CHADEMA alijikuta akisema kwa sauti bila kujua kuwa anasikika na watu "if it is Dr. Slaa we have to go back to the drawing board". No wonder tangu wakati huo hajawahi kukubali kukutana na Dk. Slaa Kwenye mdahalo au hata panel interview.
 
na kweli asiwe lowasa .. bora uwe uzushi.maana .. hakuna namna naweza amini kuna badiliko kwa style hii hata kama tunataka kuidondosha ccm si kwa style ya kubeba.. lowasa and co...huyo jamaa hata akiconfess sijui kama binafsi yangu ntaamini kama ataweza badilisha mtazamo juu yake..
sasa ajenda ya UFISADI huku cdm itakuwaje..?
au ndio tutaaminishana.. ujanja
na yale makapi akihama nayo je..?(vijisenti, etc.)
huu utakuwa ulaghai wa karne ...
na rasmi ntabadili muelekeo..
 

Mkuu Ng'wamapalala

Unasema UKAWA wameshindwa kuafikiana!?!? Natumai unatania mpiganaji.

Sijajua kauli zangu za clarifications kuhusu uliokuwa unaenezwa eti Mzee Mtei kakodiwa ndege kuja Dar na blah blah zingine kuhusu Lowassa ulizielewa vipi. Maana inawezekana tatizo linaanzia hapo. Au unatamani ule uongo ungeachwa hivyo hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Makene mwaka huu umeumbuka asubuhi, umekuwa msemaji wa UKAWA umejisahau kuwa wewe ni msemaji wa CHADEMA, hauoni mwenzako Magdalena Sakaya yeye anasemea CUF? nakusubiria kwenye umbuko. Mbona kabla CUF hawajaongea ulikuwa kimya kama maji ya mtungi?
 

Makene unajifnya kujua ambayo huna uwezo nayo ndani ya Chama, hivi wewe ni nani ndani ya CHADEMA mpaka ujue kukodiwa/kutokodiwa ndege? Wewe ni kiumbe kidogo sana ndani ya hiyo kambi ya Wachagga, labda angalau hata ungekuwa shemeji yao, huko wewe unatumika tu kama karai la zege.
 
Last edited by a moderator:
Lowassa ndiyo lulu yenu sasa,CCM inawasubiri tu iwatandike.
 
Wewe ya CHADEMA hayakuhusu kwa kuwa Mlishapuuzwa kitambo na mungu wenu pia

Mkuu huyu jamaa anaifuatilia cdm kinafiki sana na inabidi kutulia sana ndio umuelewe kwenye post zake.
 

Mkuu naona umeamua kujianika hadharani ili kila mtu akujue uwezo wako wa kufikiri na kutenda,hongera sana kwa kutuwezesha kukujua vizuri
 
Makene mwaka huu umeumbuka asubuhi, umekuwa msemaji wa UKAWA umejisahau kuwa wewe ni msemaji wa CHADEMA, hauoni mwenzako Magdalena Sakaya yeye anasemea CUF? nakusubiria kwenye umbuko. Mbona kabla CUF hawajaongea ulikuwa kimya kama maji ya mtungi?

Kwahiyo wewe umeamua kuwa msemaji wa ccm?hiyo nafasi kakupatia nape au nani?
 

Mkuu Makene ccm na mawakala wao woote wanajua kabisa kuwa Dr slaa ndiye msumali pekee wa kuwakwamisha kwenye juhudi zao za kutaka kubakia ikulu,na huo ndio ukweli ndio maana kila ccm anajidai kukwepesha ukweli eti oo mara agombeee mtu mwingine siyo Dr slaaa,wanamuogopa.
 
Umenikumbsha mbali mkuu majeshi ya NATO yameishaingia Basra lakini Al-Sahafu anakuambia wameyakimbiza mbali na yakijaribu kuingia lango kuu basi makaburi yao yatakuwa Basra.

Teh teh teh
 
...

"Wakati wao wametanguliza kufuli, wananchi wanakuja na funguo!
 
Hebu tuone mwisho wake.....
Lakini nilishawahi kusema humu na narudia kusema
SINA IMANI NA UKAWA
 
Huja msikia kupitia ITV mzee kingunge anasema lowasa hakuhusika na ufisadi bali alijuzuru kuokoa taifa?sasa tutamchukua kingunge na lowasa
Mangi umeshawahi kukanyaga kinyesi baada ya kuruka mkojo?
na baadaye unakimbi kinakurukia mgongoni?
sasa ndio hao watu maana utajitoa mwenyewe kwenye Marathoni muwaachie NCCR, CUF, NLD, ACT NA kina UDP, TADEA nk
tunawapenda sana kwani mnatukimbiza wakati tulikuwa tukitembea kigoigoi
 

Ni imani yangu kwamba bado unasimamia kwenye hii kauli mkuu!

cc The Boss
 
Last edited by a moderator:
Kimya kingi kinamshindo..ngoja tusubiri
 
Yeah. Si kiwango chako. Uzuri wa ugonjwa wako wa uvivu wa kusoma hauambukizi watu wengine.

Tunasubiri mrejesho!


Huwajui vizuri Mbowe na Mtei wakiona pesa

Jamaa kashavuta hesabu yake sasa!


Mkuu bado unasimamia hii kauli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…