kimya chenye mshindo!...

Siku hizi mwanaune akijikalia kimya(nuna) tunachukua jembe kwenda kupalilia bustanini.....
 
Ndio uzuri wa jf kuna lugha mbalimbai

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hadi kununiana kwenye ndoa kulikoni? mie siwezi kukaa na dume ananuna maana sasa itakuwa kero tena, raha ya ndoa furaha daima.

Furaha daima asilimia 100 katika ndoa haipo popote. Maisha ni safari ndefu kuna kupanda na kushuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…