Kimwana hajiamini

nadhani kuna vitu ambavyo ufumbuzi wake ni wahusika wenyewe kukaa chini na kuzungumza, hiki unachosema ni kimojawapo,

kaa nae mzungumze kwa uwazi yeye ndo ana majibu sahihi wengine hapa tutakisia tu na unaweza kupotea.
 
Wakuu asanteni kwa mawazo yenu,mambo yamekuwa mazuri...............kweli kwa mtu unayempenda unaweza fanya chochote.I feel great for sure!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…