Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,690 Jun 21, 2010 #1 Hapo sasa wale wadada wa kufanya dayati
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Jun 21, 2010 #2 ha ha Kibweka acha vituko:smiling:
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,042 Reaction score 7,474 Jun 21, 2010 #4 hahahaa!! duh!! e-banaee! yani hana nyama hata kidogo, ni mifupa na ngozi tu!
D Dick JF-Expert Member Joined Feb 10, 2010 Posts 477 Reaction score 9 Jun 21, 2010 #5 weka speed gavana
Sajenti JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 3,651 Reaction score 414 Jun 23, 2010 #7 Bigirita said: hahahaa!! duh!! e-banaee! yani hana nyama hata kidogo, ni mifupa na ngozi tu! Click to expand... ..Usiombe akutie kabali huyo au akuchape kibao...utadhani umekutana na kipande cha ubao wa mninga!!!:A S 103:
Bigirita said: hahahaa!! duh!! e-banaee! yani hana nyama hata kidogo, ni mifupa na ngozi tu! Click to expand... ..Usiombe akutie kabali huyo au akuchape kibao...utadhani umekutana na kipande cha ubao wa mninga!!!:A S 103:
minda JF-Expert Member Joined Oct 2, 2009 Posts 1,068 Reaction score 67 Jun 23, 2010 #8 betina wa ughaibuni huyo!
J jamadary Member Joined May 12, 2010 Posts 11 Reaction score 0 Jun 24, 2010 #9 Haya! wale dada zetu mamiss wanao jikondesha kazi kwenu
Kisoda2 JF-Expert Member Joined May 30, 2008 Posts 2,475 Reaction score 747 Jun 25, 2010 #12 :nerd::nerd::nerd:
Mwiba JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 7,607 Reaction score 1,760 Jun 30, 2010 #13 mbona uso una nyamaaaaaaaa????????????yani uso umetononoka..........:mmph::mmph:
B Bawa mwamba JF-Expert Member Joined Mar 19, 2010 Posts 350 Reaction score 32 Jul 14, 2010 #14 mwiba said: mbona uso una nyamaaaaaaaa????????????yani uso umetononoka..........:mmph::mmph: Click to expand... hiyo ndio tofauti ya mwembamba wa asili na wa kujikomdesha.,...wa asili sura yote hubaki imejaa,..ila wa kujikondesha/wa njaa sura humuumbua,...inkuwa ya kitapiamlo
mwiba said: mbona uso una nyamaaaaaaaa????????????yani uso umetononoka..........:mmph::mmph: Click to expand... hiyo ndio tofauti ya mwembamba wa asili na wa kujikomdesha.,...wa asili sura yote hubaki imejaa,..ila wa kujikondesha/wa njaa sura humuumbua,...inkuwa ya kitapiamlo