Kimkakati, CCM ilianzisha mfumo huu wa nafasi za RC's na DC's ili kuunganisha shughuli za chama

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
TUMALIZE UBISHI....

Anaandika [HASHTAG]#Mtatiro[/HASHTAG] J

TANGAZO;
"Serikali yetu inaanza ukaguzi wa vyeti vya Watumishi wa Umma mara moja." = JPM

HOTUBA;
"Uhakiki huu wa vyeti haukuhusisha VIONGOZI WA KISIASA ambao ni Mawaziri, Wabunge, Madiwani, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya" = Waziri Angela Kairuki.

SHERIA;
Sheria mama inayosimamia watumishi wote ni Sheria ya Utumishi wa Umma namba 8 ya mwaka 2002. Kifungu cha 3 kinaeleza maana ya mtumishi wa umma “public servant”. Kinasema hivi, “Kwa muktadha wa sheria hii, mtumishi wa umma ni mtu anayeshikilia madaraka au kukaimu madaraka katika ofisi ya utumishi wa umma”.

Sheria hiyo imekwenda mbali zaidi katika kifungu hicho hicho cha 3 na kueleza maana ya “Ofisi ya Utumishi wa Umma” (public service office). Sheria inasema, “kwa muktadha wa sheria hii, Ofisi ya Utumishi wa Umma inamaanisha;

(a)Ofisi inayogharamiwa na umma katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ina jukumu la kutengeneza sera za serikali na kutoa huduma za kijamii.

(b) ofisi yoyote ambayo itakuwa imeazimiwa/imetangazwa na sheria au iliyoko chini ya sheria yoyote kwamba ofisi hiyo itakuwa ofisi ya umma.

KWA HIYO;
Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya ni Watumishi wa Umma 100% na hata mamlaka inayowateua inawateua katika misingi hiyo hiyo ya utumishi. Kwa hiyo kama tuliutangazia umma kuwa "tunakagua vyeti vya WATUMISHI WA UMMA" then sheria iko wazi kuwa RCs na DCs ni watumishi wa umma.

JE RC's na DC's NI WANASIASA?
1. Nimemsikia Waziri, dada yangu Angela, akieleza kuwa Uhakiki wa Vyeti haukufanyika kwa viongozi wote wa kisiasa, anawataja "Mawaziri, Wabunge, Ma RC, Ma DC na Madiwani.

Kuwaingiza RC's na DC's kwenye kundi la wanasiasa ni upotoshaji wa kiwango cha juu kabisa. Wakuu wa Mikoa (RC's) na Wakuu wa Wilaya (DC's) siyo viongozi wa kisiasa na hawaongozi Ofisi za Kisiasa. Mkuu wa Mkoa ni msimamizi wa juu za mkoa mzima (a supervisor), huyu si mwanasiasa na haijawahi kuwa hivyo.

Na ndiyo maana mara kadhaa mmewasikia ma RC na ma DC waking'aka kuwa "mimi siyo mwanasiasa" ila ni wasimamizi wakuu wa shughuli za serikali kwenye mikoa yao.

2. Kimkakati, CCM ilianzisha mfumo huu wa nafasi za RC's na DC's ili kuunganisha shughuli za chama na serikali nchi nzima. Yaani, ni mfumo ambao usingelikuwepo (let us say tungelikuwa na Ma RC na Ma DC wanaochaguliwa au kuteuliwa bila upendeleo au na wananchi wenyewe), CCM ingelikosa kabisa watu wenye mamlaka ngazi za mikoa na wilaya ambao hupaswa kutumika kutetea maslahi ya CCM dhidi ya maslahi ya taifa/wananchi ili kulinda madaraka yasiende nje ya CCM asilani abadani!

Kwa hiyo, hoja ya Angela Kairuki (Waziri) kwamba ma DC na ma RC ni wanasiasa inasemwa ili "ku-qualify" aibu na soni ambazo zimekuwa zikifanyika kwa kuwatumikisha ma RC na ma DC kwa maslahi ya CCM ikiwemo kuingilia na kuhujumu chaguzi, kuhujumu mamlaka ya vyombo vya dola ambavyo vinapaswa kufanya kazi zake proffessionally n.k.

3. Na tena, hoja ya Angela Kairuki inajaribu kuwazoesha wananchi jambo lisilopaswa kuwapo, la kudhania na kuona ni sawa tu ma RC na ma DC wakiwa wanasiasa. Hapa duniani ukitaka jambo lako liende, mzoeshe unayemuongoza kuona "umasikini ndiyo utajiri" na kuwa "umasikini haukwepeki".

4. Dhana hii nayoijadili hapa ni sawa sawa na ile ya JPM kuteua na kujaza makada wa CCM kwenye nafasi ya Ukurugenzi wa Halmashauri na Manispaa bila kujali kule zile ni za utendaji wa ndani mno na kwamba zinapaswa kukabidhiwa kwa watumishi wa umma wenye uzoefu na uwezo mkubwa.

Kimkakati, uamuzi ule wa JPM ulifanywa kama chambo cha kuandaa hujuma na kupata wana CCM wa kutosha kwenye ngazi za chini ambao ni rahisi kuwapigia simu moja tu "huyo mgombea wa upinzani asitangazwe hata kama atashinda" na wakatekeleza!

Haya mambo ni makubwa kushinda tudhaniavyo, lakini kimantiki, kisheria, kiweledi, kikatiba n.k. RC's na DC's siyo sehemu ya wanasiasa, it only happens in the CCM regime.

Nisameheni kama nimezungumza kifalsafa sana.

Tujifunze kutafakari na kujadili.

[HASHTAG]#Mtatiro[/HASHTAG] J
 
Tunamlinda mwana mfalme
 
Mkuu, mmejiandaa kukabiliana na machafuko mtakayoporomoshewa na wanakijani waliokunywa maji ya bendera? Ngoja waje maprof. na madokta
 
'Sasa kama wanasiasa sio watumishi Wa Umma ni watumishi wa nani?tuna watu Wa ajabu sana hii nchi
 
NINAVYO FAHAMU MIMI MWANASIASA NI MTU ALIYECHAGULIWA NA WANANCHI KWENYE UCHAGUZI. Kama raisi, mbunge na madiwani. Kusema Ma RC. na Ma DC ni wanasiasa kwa sababu wameteuliwa na Rais ni kosa kubwa sana. Kwa mantiki hiyo CDF, IGP na jaji mkuu ni wanasiasa kwa sababu wameteuliwa na Rais?
 
TUMALIZE UBISHI....

Anaandika [HASHTAG]#Mtatiro[/HASHTAG] J

TANGAZO;
"Serikali yetu inaanza ukaguzi wa vyeti vya Watumishi wa Umma mara moja." = JPM

HOTUBA;
"Uhakiki huu wa vyeti haukuhusisha VIONGOZI WA KISIASA ambao ni Mawaziri, Wabunge, Madiwani, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya" = Waziri Angela Kairuki.

SHERIA;
Sheria mama inayosimamia watumishi wote ni Sheria ya Utumishi wa Umma namba 8 ya mwaka 2002. Kifungu cha 3 kinaeleza maana ya mtumishi wa umma “public servant”. Kinasema hivi, “Kwa muktadha wa sheria hii, mtumishi wa umma ni mtu anayeshikilia madaraka au kukaimu madaraka katika ofisi ya utumishi wa umma”.

Sheria hiyo imekwenda mbali zaidi katika kifungu hicho hicho cha 3 na kueleza maana ya “Ofisi ya Utumishi wa Umma” (public service office). Sheria inasema, “kwa muktadha wa sheria hii, Ofisi ya Utumishi wa Umma inamaanisha;

(a)Ofisi inayogharamiwa na umma katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ina jukumu la kutengeneza sera za serikali na kutoa huduma za kijamii.

(b) ofisi yoyote ambayo itakuwa imeazimiwa/imetangazwa na sheria au iliyoko chini ya sheria yoyote kwamba ofisi hiyo itakuwa ofisi ya umma.

KWA HIYO;
Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya ni Watumishi wa Umma 100% na hata mamlaka inayowateua inawateua katika misingi hiyo hiyo ya utumishi. Kwa hiyo kama tuliutangazia umma kuwa "tunakagua vyeti vya WATUMISHI WA UMMA" then sheria iko wazi kuwa RCs na DCs ni watumishi wa umma.

JE RC's na DC's NI WANASIASA?
1. Nimemsikia Waziri, dada yangu Angela, akieleza kuwa Uhakiki wa Vyeti haukufanyika kwa viongozi wote wa kisiasa, anawataja "Mawaziri, Wabunge, Ma RC, Ma DC na Madiwani.

Kuwaingiza RC's na DC's kwenye kundi la wanasiasa ni upotoshaji wa kiwango cha juu kabisa. Wakuu wa Mikoa (RC's) na Wakuu wa Wilaya (DC's) siyo viongozi wa kisiasa na hawaongozi Ofisi za Kisiasa. Mkuu wa Mkoa ni msimamizi wa juu za mkoa mzima (a supervisor), huyu si mwanasiasa na haijawahi kuwa hivyo.

Na ndiyo maana mara kadhaa mmewasikia ma RC na ma DC waking'aka kuwa "mimi siyo mwanasiasa" ila ni wasimamizi wakuu wa shughuli za serikali kwenye mikoa yao.

2. Kimkakati, CCM ilianzisha mfumo huu wa nafasi za RC's na DC's ili kuunganisha shughuli za chama na serikali nchi nzima. Yaani, ni mfumo ambao usingelikuwepo (let us say tungelikuwa na Ma RC na Ma DC wanaochaguliwa au kuteuliwa bila upendeleo au na wananchi wenyewe), CCM ingelikosa kabisa watu wenye mamlaka ngazi za mikoa na wilaya ambao hupaswa kutumika kutetea maslahi ya CCM dhidi ya maslahi ya taifa/wananchi ili kulinda madaraka yasiende nje ya CCM asilani abadani!

Kwa hiyo, hoja ya Angela Kairuki (Waziri) kwamba ma DC na ma RC ni wanasiasa inasemwa ili "ku-qualify" aibu na soni ambazo zimekuwa zikifanyika kwa kuwatumikisha ma RC na ma DC kwa maslahi ya CCM ikiwemo kuingilia na kuhujumu chaguzi, kuhujumu mamlaka ya vyombo vya dola ambavyo vinapaswa kufanya kazi zake proffessionally n.k.

3. Na tena, hoja ya Angela Kairuki inajaribu kuwazoesha wananchi jambo lisilopaswa kuwapo, la kudhania na kuona ni sawa tu ma RC na ma DC wakiwa wanasiasa. Hapa duniani ukitaka jambo lako liende, mzoeshe unayemuongoza kuona "umasikini ndiyo utajiri" na kuwa "umasikini haukwepeki".

4. Dhana hii nayoijadili hapa ni sawa sawa na ile ya JPM kuteua na kujaza makada wa CCM kwenye nafasi ya Ukurugenzi wa Halmashauri na Manispaa bila kujali kule zile ni za utendaji wa ndani mno na kwamba zinapaswa kukabidhiwa kwa watumishi wa umma wenye uzoefu na uwezo mkubwa.

Kimkakati, uamuzi ule wa JPM ulifanywa kama chambo cha kuandaa hujuma na kupata wana CCM wa kutosha kwenye ngazi za chini ambao ni rahisi kuwapigia simu moja tu "huyo mgombea wa upinzani asitangazwe hata kama atashinda" na wakatekeleza!

Haya mambo ni makubwa kushinda tudhaniavyo, lakini kimantiki, kisheria, kiweledi, kikatiba n.k. RC's na DC's siyo sehemu ya wanasiasa, it only happens in the CCM regime.

Nisameheni kama nimezungumza kifalsafa sana.

Tujifunze kutafakari na kujadili.

[HASHTAG]#Mtatiro[/HASHTAG] J

Na Mzungu alianzisha RC na DC kwa kazi gani?
 
Wakuu wa mikoa na wilaya ni mfumo wa kikoloni tuliorithi.

Wanapoongelea katiba mpya huku wakuu hawa kuendelea kuwa wateule wa Rais badala ya kuchaguliwa na wananchi hujiuliza upya wa hiyo katiba pendekezwa ni nini?

Au ni jina na wala siyo maudhui?
 
Back
Top Bottom