kimesanuka uwanja wa siasa!

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,140
kuna watu wazima huko wanasutana mpaka basi,kama vipi atokee mtu awashauri waingie chitchat kidogo washushe munkari ndo warudi anga zao,vinginevyo watatoana macho.Yaani watu wazima wanavyovuana nguo mmmhh nimechoka kabisa maana wanatoa mpaka siri zao za makaburini,dah!
 
Wanasema wameaga kwao ukiwaua kwenu hatabaki panya wala senene
 
Wanasema eti jamaa alikuwa ana mpango wa kumuua liiziitoo kabwela halafu wenyewe wapo kimya kimenuka ndo wanasema ka watoto wanaotishiwa bakora wanaanzza kutajana sio mimi sio mimi ni Baba V alikojolea mboga
 
Last edited by a moderator:
Wanasema eti jamaa alikuwa ana mpango wa kumuua liiziitoo kabwela halafu wenyewe wapo kimya kimenuka ndo wanasema ka watoto wanaotishiwa bakora wanaanzza kutajana sio mimi sio mimi ni Baba V alikojolea mboga...eeehh Baba V samahani ulimi umeteleza
 
Last edited by a moderator:
Wanasema eti jamaa alikuwa ana mpango wa kumuua liiziitoo kabwela halafu wenyewe wapo kimya kimenuka ndo wanasema ka watoto wanaotishiwa bakora wanaanzza kutajana sio mimi sio mimi ni Baba V alikojolea mboga

Jana cacico alienda huko akarudi analalamika konkasheni ikabidi mzee mzima Asprin ampe swedish massage.
 
Last edited by a moderator:
Heeeeheee nilipita huko asubuhi ni balaaa
 
Nilimuona na yeye alikuwa mstari wa mbele akipewa ahadi kemkem nikasikia hv 'ile ahadi niliyowaahidi ya daraja bado naikumbuka sana,mkinichagua tena ntawajengea daraja' cacico nikamsikia oyeeeeeeeee haya ndio matokeo yake


Jana cacico alienda huko akarudi analalamika konkasheni ikabidi mzee mzima Asprin ampe swedish massage.
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana mzee nanii akija huku anakuwa bored....
Mkodombwe upo kule lol! cc cha mtoto!!!!!
 
ngoja nhamie huku chit chat siasa imenitumbukia nyongo watu wanatishana kuuana tena wanatishia hadi panya wasio na hatia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…