Kimenuka: Ukawa hali si shwari

Kimenuka: Ukawa hali si shwari

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,523
Reaction score
14,198
kwanza niseme Takwimu na maelekezo waliyonayo chadema katika wilaya 3 nilizofika ni dhahiri ukawa haipo kwa ubinafsi tu wa chadema, tayari nccr na cuf wamekubaliana katika maeneo mengi , mfano Arusha mjini chadema hawataki ushirikiano wa ukawa, hapa serengeti katibu Chacha Antony anasema hata makubaliano hayatambui ! Na ni fake ! Wakati nccr wanataka vitongoji 2 tu kati ya 23 vya hapa mjini, cuf wanataka 6 tu na chadema watapata 14 , na kwa sasa chadema wana kiti 1 tu, cuf wana vitongoji 4, na nccr hawana ! Mie nafikiri ni muhimu sasa kwa CUF Na NCCR Kuendelea na ushirikiano na hawa tuwaachie watz watawahukumu ! Mbaya zaidi arusha hawataki ushirikiano, hapa serengeti wanataka waachiwe viti 21 pamoja na 3 kati ya 4 vya CUF ! Sitaki kubeza hatua za mazungumzo kwenye ngazi ya Taifa kuhusu kuokoa jahazi ila watz bado wanataka umoja ! NCCR na CUF Tutatosha hawo waachieni waweke mgombea kila mtaa, kijiji na kitongoji !
 
mmeanza uchonganishi wenu kama kawa,lakini UKAWA wamejipanga vilivyo kwa hili.
 
Hii ndiyo sala ya mwisho iliyobaki ya magamba, kuombea upinzani usambaratike. CCM is brain dead!!!!
 
Wewe unamhusudu Pinda mpaka umeweka picha yake hapo halafu unajifanya ni mwanaukawa? Wewe CCM ya ukawa yanakuhusu nini?
 
kwanza niseme Takwimu na maelekezo waliyonayo chadema katika wilaya 3 nilizofika ni dhahiri ukawa haipo kwa ubinafsi tu wa chadema, tayari nccr na cuf wamekubaliana katika maeneo mengi , mfano Arusha mjini chadema hawataki ushirikiano wa ukawa, hapa serengeti katibu Chacha Antony anasema hata makubaliano hayatambui ! Na ni fake ! Wakati nccr wanataka vitongoji 2 tu kati ya 23 vya hapa mjini, cuf wanataka 6 tu na chadema watapata 14 , na kwa sasa chadema wana kiti 1 tu, cuf wana vitongoji 4, na nccr hawana ! Mie nafikiri ni muhimu sasa kwa CUF Na NCCR Kuendelea na ushirikiano na hawa tuwaachie watz watawahukumu ! Mbaya zaidi arusha hawataki ushirikiano, hapa serengeti wanataka waachiwe viti 21 pamoja na 3 kati ya 4 vya CUF ! Sitaki kubeza hatua za mazungumzo kwenye ngazi ya Taifa kuhusu kuokoa jahazi ila watz bado wanataka umoja ! NCCR na CUF Tutatosha hawo waachieni waweke mgombea kila mtaa, kijiji na kitongoji !

Kukurukeni kwenye Escrow kwanza mufiche aibu zen ndio muje kuijadili Ukawa
 
Attachments

  • 1416134231459.jpg
    1416134231459.jpg
    19.5 KB · Views: 799
kwanza niseme Takwimu na maelekezo waliyonayo chadema katika wilaya 3 nilizofika ni dhahiri ukawa haipo kwa ubinafsi tu wa chadema, tayari nccr na cuf wamekubaliana katika maeneo mengi , mfano Arusha mjini chadema hawataki ushirikiano wa ukawa, hapa serengeti katibu Chacha Antony anasema hata makubaliano hayatambui ! Na ni fake ! Wakati nccr wanataka vitongoji 2 tu kati ya 23 vya hapa mjini, cuf wanataka 6 tu na chadema watapata 14 , na kwa sasa chadema wana kiti 1 tu, cuf wana vitongoji 4, na nccr hawana ! Mie nafikiri ni muhimu sasa kwa CUF Na NCCR Kuendelea na ushirikiano na hawa tuwaachie watz watawahukumu ! Mbaya zaidi arusha hawataki ushirikiano, hapa serengeti wanataka waachiwe viti 21 pamoja na 3 kati ya 4 vya CUF ! Sitaki kubeza hatua za mazungumzo kwenye ngazi ya Taifa kuhusu kuokoa jahazi ila watz bado wanataka umoja ! NCCR na CUF Tutatosha hawo waachieni waweke mgombea kila mtaa, kijiji na kitongoji !
Propaganda za kitaahira hizi. Vijana wa CCM hii ajira yenu isiyo rasmi ya buku 7 kwa siku naona inaendelea kuwatindua ubongo kila kukicha!

1378528_621377627913562_1439553841_n.jpg
 
*Nasema ukweli Daima*CDM wanatumia UBABE ktk mgawanyo wa majimbo hawataki maridhiano kabisa HILI NIMELIONA LIVE KTK KATA YA "ILALA" ni ubabe ubabe tu!!/REKEBISHENI HARAKA KILA DOSARI!
 
... Mie nafikiri ni muhimu sasa kwa CUF Na NCCR Kuendelea na ushirikiano na hawa tuwaachie watz watawahukumu !..
Nilidhani kimenuka kweli, kumbe ni maoni yako! Hata hivyo habari ya mujini ni ufisadi wa ESCROW ACCOUNT !!!
 
kwanza niseme Takwimu na maelekezo waliyonayo chadema katika wilaya 3 nilizofika ni dhahiri ukawa haipo kwa ubinafsi tu wa chadema, tayari nccr na cuf wamekubaliana katika maeneo mengi , mfano Arusha mjini chadema hawataki ushirikiano wa ukawa, hapa serengeti katibu Chacha Antony anasema hata makubaliano hayatambui ! Na ni fake ! Wakati nccr wanataka vitongoji 2 tu kati ya 23 vya hapa mjini, cuf wanataka 6 tu na chadema watapata 14 , na kwa sasa chadema wana kiti 1 tu, cuf wana vitongoji 4, na nccr hawana ! Mie nafikiri ni muhimu sasa kwa CUF Na NCCR Kuendelea na ushirikiano na hawa tuwaachie watz watawahukumu ! Mbaya zaidi arusha hawataki ushirikiano, hapa serengeti wanataka waachiwe viti 21 pamoja na 3 kati ya 4 vya CUF ! Sitaki kubeza hatua za mazungumzo kwenye ngazi ya Taifa kuhusu kuokoa jahazi ila watz bado wanataka umoja ! NCCR na CUF Tutatosha hawo waachieni waweke mgombea kila mtaa, kijiji na kitongoji !

Tatizo lako umetoka chooni hujanawa mikono umekimbilia computer. Mtaangaika sana lakini ukawa tupo ngangari nna mtasikilizia mziki wetu
 
Mmeshaanza kazi mliyotumwa siyo? taarifa hizo za kuchonganisha UKAWA tunazo na tulishazitoa hapa, mtasubiri sana
 
Namuona bwana ritz yuko bize na kibarakashia na kanzu nyekundu eti yuko battlefield kwi kwi kwi kwi ccm ni ebola+dengue=explosion

propaganda za kitaahira hizi. Vijana wa ccm hii ajira yenu isiyo rasmi ya buku 7 kwa siku naona inaendelea kuwatindua ubongo kila kukicha!

Back
Top Bottom