Kimenuka TARURA Mwanza: Watumishi hawamtaki Meneja, Fuko

Mods huu uzi unafanyanini mpaka saa iz? Hatuwez kujadili majungu, please mods ondoeni haya majungu, mleta uzi nakushauri peleka haya mambo kwenye vijiwe vya kahawa
 
Acha majungu kazini
Piga kazi.
Kama kuna matatizo kuna ngazi za kuropoti ukiwa mtumishi wa umma
 
Acha majungu kazini
Piga kazi.
Kama kuna matatizo kuna ngazi za kuropoti ukiwa mtumishi wa umma
 
FANYENI KAZI ACHENI MAJUNGU .....

 
Kichomiz id yako imefanana na uchangiaji wako, achana na habari za kusikia mkuu, tukikwambia tupe ushaidi, utatuletea wa kusikia, acheni majungu mkuu
Kwa Majibu yako kwenye huu uzi, wewe ndiye Fuko Mwenyewe. Acha uzinzi wewe Utakufa, chukua hizo tuhuma zifanyie kazi vinginevyo ukileta ujuaji yatakutokea puani. Injinia SOMA HIYO.
 
Ni kweli Tarura katika Wilaya zote za Mwanza kuna tatizo. Ni muda muafaka TAKUKURU kufuatilia lisemwalo. Muwahoji Wakandarasi walioomba kazi mtasisikia mengi sana. Uundwaji wa TARURA bado una kasoro.
 
Eng Magoti yupi huyo?
 
Nakushauri upeleke TAKUKURU kama una ushahidi. Isije ikawa ni majungu tu.

Kuna wakati, baadhi yenu hasa watumishi wa kitengo cha manunuzi (PMU), wahandisi, mafundi sanifu na wajumbe wa evaluation teams mkiona maslahi yenu na waliowatuma yamekwama, huwa mnapanic na kuchafua watu.

Au ndio vita ya kumchafua Fuko imeanza
baada ya bosi wenu Raphael Chilato kupewa za uso na Fuko pale Morogoro
kwenye yale mafunzo. Bosi wenu Chilato ana tabia ya kuwatumia baadhi yenu hasa wakuu wa vitengo vya manunuzi (HPMU) katika mikoa ili makumpuni ambayo ana maslahi nayo yapewe kazi, au apewe pesa haramu. Mwambieni Chilato, ashajulikana sasa hivi, sio kama kipindi cha nyuma.

Mwambieni Raphael Chilato ana tuhuma za kupendekeza na kushawishi watumishi ambao ni vibarua na wenye uhusiano nae wa kingono wapewe ukuu wa vitengo vya manunuzi katika mikoa. Kuna mikoa zaidi ya nane, wakuu wa vitengo vya manunuzi katika mikoa hiyo ni vibarua. Majina tunayo. File lipo limejaa ujinga alioshiriki kufanya. Asichokoze watu, tukaandika waraka humu.

Wasiomjua Raphael Chilato, huyu jamaa mpenda ngono ni Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi (HPMU) TARURA makao makuu.

Akiendelea kuzingua, tutaleta humu ndani majina ya vibarua wote waliopewa ukuu wa vitengo vya manunuzi katika mikoa isiyopungua nane. Majina yapo na mikoa ambayo wamepewa hizo nafasi inajulikana.
 
Previous record of Eng. Fuko's character haishabihiani na haya maji taka. Leta ushahidi.
 
Kwa Majibu yako kwenye huu uzi, wewe ndiye Fuko Mwenyewe. Acha uzinzi wewe Utakufa, chukua hizo tuhuma zifanyie kazi vinginevyo ukileta ujuaji yatakutokea puani. Injinia SOMA HIYO.
Engineer Fuko nitasimama upande wake hadi mtakapoleta ushahidi usio na shaka wa tuhuma hizo. Over!
 
Nawe haupishani na mleta mada. Inaonekana mna ugomvi binafsi na watuhumiwa.
 
Huu uzi siyo wa kubeza hata kidogo. Kuna kitu hapa. Kwa kuwa JF ndiyo sehemu iliyobaki kwa watu kupumua, nashauri vyombo vya dola vifanye kazi Mara moja. Mtu anapokuja jf akamtuhumu mtu, tena kwa makosa ya namna hii tusimshambulie au kumwamini kiasi cha kufikia conclusion. Hizi allegations ni nzito. Ni nzito kwa kuwa Fuko ni mtu ambaye historia yake Mwanza hata kabla ya Tarura inafahamika. Alikohamia na baadae Wanging'ombe alikotokea na kuwa Afisa makao makuu Tarura rekodi zake zipo.
Uchunguzi wa allegations hizi utaisaidia sana Tarura kwa sababu Bwana Fuko pamoja na kuwa Mwanza lakini bado ana ushawishi mkubwa kwa Mtendaji mkuu Tarura. Ushawishi huu ndiyo nahisi unawafanya hawa wahandisi kutumia njia zisizo rasmi kuwasilisha hoja zao.
 
Asante kwa taarifa, tumelichukua
 
Kwa Majibu yako kwenye huu uzi, wewe ndiye Fuko Mwenyewe. Acha uzinzi wewe Utakufa, chukua hizo tuhuma zifanyie kazi vinginevyo ukileta ujuaji yatakutokea puani. Injinia SOMA HIYO.
Mkuu mimi siyo Fuko, ila uzi umeletwa kimajungu sana, pia nimekupata inaonekana wewe na mleta uzi, itakuwa Fuko kawaminya mademu zenu ndiyo mana mnamchafua humu ndani
 
TARURA Mwanza tunawajua, ni wapiga dili tu na hapo ni mgongano wa maslahi ndo unaleta yote hayo. Wakandarasi Mwanza wanaofanya kazi chini ya TATURA, kazi zao ni za viwango vya chini sana kutokana na pesa nyingi za Mkandarasi kutoa rushwa kwa watumishi wa TARURA Mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…