Kimenuka TARURA Mwanza: Watumishi hawamtaki Meneja, Fuko

Acheni mambo ya kipumbavu fanyeni Kazi. Wivu na majungu hautawasaidia kitu!!
Kucoclude mambo ya Kipumbavu sio Busara;
Inawezekana anayosema Mtoa mada nni kweli, na Pia inawezekana ni Uzushi, yote yanawezekana.

Ulichotakiwa kuja nacho ni Kwanini aweke hapa? Hiyo ingetosha, Maana Kama ukweli au Uzushi Mtoa mada ndio anajua;
 
Yule jamaa ni miongoni wa waratibu majembe sana anapiga kazi balaa na mambo pia anayajua kwa kiwango cha dunia.hao hawataacha kulalamika maana kuna uwezekano mkubwa wakawa
Pamoja na Mambo yote; Mkuu ni busara sana kuamini lolote linaweza kutokea kwa mtu yeyote unayemuamini/ au Uliyejenga imani kwake hata kama ni wa karibu Vip; Hizi ni tuhuma tu, ambazo zinaweza kuwa kweli au Uongo;
Kumbuka kila mtu ana mapito yake binafsi, yako mambo ambayo mtuhumiwa anajitahidi kuyaficha kwa baadhi ya watu wasijue, au Mtu yeyote asijue.

Hivyo Inawezekana jamaa ni mtendaji ila ana mambo yake amabayo huenda wewe Huyajui. au Inawezekana ni mambo ya Uzushi; Hivyo usiwe na conclusion ya moja kwa moja kwamba hawezi fanya ivi na ivi; Ni vizuri ukatoa maoni yako kwa kadiri unavyomjua, lakini pia Usibeze wala Kukubaliana na maoni ya Mtoa mada.
 
Back
Top Bottom