Uchaguzi 2020 Kimenuka Njombe. Wajumbe wavamia Ofisi za CCM, "Tutashusha bendera za CCM”

Hahaha ccm hawajawahi kushinda. Wao figisu hadi ndani mwao.

Ngoja bibi aje ashushe "Dembera" yao ndio watamuelewa.

Mamluki haya takiwi hata ccm?! Sasa naanza kuwaelewa wajumbe.
 
Jiwe ameiharibu nchi. Amekiweka chama mfukoni na haya ndiyo madhara yake hata ngazi za kata.
Wew unatetea upande gani, wa CCM au CDM?
kama wew ni wa CDM basi uliachoandika hapa kitakuwa ni upumbavu mtupu au umejawa na utoto mwingi hadi unatia kichefuchefu.
 
Wajumbe pamoja umaarufu wote walioupata ktk ngazi ya wilaya na kata, kumbe zote zilikuwa ni kelele za chura tu, ona sasa tembo keshafanya vitu vyake, maji kayanywa na kuacha tope jingi mtoni.

Oil chafu kutoka CDM ni lulu kwa chama tawala, na ndiyo yenye thamani na hata kuaminika ktk awamu hii. Chaguo la wajumbe wa ngazi za chini si lolote wala chochote kile kwa wakubwa zenu. Tulieni tuli kama maji mtungini, ili mjipange upya na kuanza kusifu na kuabudu kwa mara nyingine tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom