Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,411
- 15,445
Cuba imekuwa nchi ya hovyo kupita mfano kwa sababu ya huo utawala wa hovyo wa kikomunisti ambao sera yake kuu ni watu kugawana umaskini.
Cuba ya leo haina kabisa tofauti na ile ya 1959 wakati dikteta Fidel Castro anatwaa madaraka ambapo waliamua kuwafuata warusi na kama inavyo fahamika warusi mkiwafuata mnabaki wachoma mahindi tu siku zote.
Matokeo yake Wacuba zaidi ya milioni tatu wakakimbilia Marekani kwenda kutafuta maisha mazuri na ndio hawa wakina Marco Rubio.
Cuba waache ujinga wakubali wachukuliwe na Marekani ili nchi yao ibadilike. Wangekuwa ni mshirika wa Marekani toka zamani leo hii wangekuwa kama South Korea, Taiwan au Singapore na kama ni ule mchezo wa karata tunaweza kusema kwa kujinasibisha na Urusi waliokota hii sio pesa.
Tatizo viongozi wengi wa kiafrica wamekuwa washenzi zaidi ya wazunguAfrica isipojifunza kuungana na kujitegemea, hawa washenzi watarudi kututawala kimabavu. Inavyoonesha wamenusa hatari ya kutopikika chungu kimoja kweli labda na China. Na labda anatafutwa sasa!
Hawa washenzi wanapanga kurudi mazima tusipokuwa makini, akitokq huyo France atafuata kukusanya visiwa vyake.
Puumbaavu!!!
Wewe ndio unaitwa Nabii nani au ndio Tito.Nendeni mkavamie mtajua kwanini Vita sio rafiki. Kwa Binadamu. Marekani itaangamia kabisa.%100
Shida IPO kwenye namna ya wanavyopatikana.Tatizo viongozi wengi wa kiafrica wamekuwa washenzi zaidi ya wazungu
Wewe ni mpuuzi sanaCuba imekuwa nchi ya hovyo kupita mfano kwa sababu ya huo utawala wa hovyo wa kikomunisti ambao sera yake kuu ni watu kugawana umaskini.
Cuba ya leo haina kabisa tofauti na ile ya 1959 wakati dikteta Fidel Castro anatwaa madaraka ambapo waliamua kuwafuata warusi na kama inavyo fahamika warusi mkiwafuata mnabaki wachoma mahindi tu siku zote.
Matokeo yake Wacuba zaidi ya milioni tatu wakakimbilia Marekani kwenda kutafuta maisha mazuri na ndio hawa wakina Marco Rubio.
Cuba waache ujinga wakubali wachukuliwe na Marekani ili nchi yao ibadilike. Wangekuwa ni mshirika wa Marekani toka zamani leo hii wangekuwa kama South Korea, Taiwan au Singapore na kama ni ule mchezo wa karata tunaweza kusema kwa kujinasibisha na Urusi waliokota hii sio pesa.
Kivipi..😲😲😲Wewe ni mpuuzi sana