KIMENUKA: Kimenuka CCM yatakiwa kumzuia Jerry silaa kucheza 'rafu' ukonga ziara ya Mchengerwa yatajwa kuwa kampeni ya kificho

Ambakucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
403
Reaction score
676
Baadhi ya watia nia ya ubunge kwenye kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu ujao katika Jimbo la Ukonga, Ilala, Dar es Salaam wamemlalamikia mbunge aliyemaliza muda wake, Jerry Silaa kwa kitendo chake cha kuanza kupiga kampeni kabla ya kipyenga kupulizwa.

Wamsema kitendo hicho, licha ya kwenda kinyume na maadili na utaratibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na sheria za uchaguzi kwa ujumla, ni kosa la jinai.
Kama haki itatendeka na ikaonekana ikitendeka, kitendo cha jinai cha kuanza kufanya kampeni kabla ya kipenga kupulizwa rasmi kinafaa kumuondolea mhusika hadhi na haki ya kuwa kwenye kinyang’anyiro hicho.
Kwa mujibu wa maelezo ya baadhi ya watia nia wa jimbo hilo, anachofanya Jerry Silaa ni kuvunja katiba na sheria za nchi tena kwa makusudi na kwa faida yake binafsi.

"Tunashangaa mwenzetu (Jerry Silaa), mbali na kuanza kampeni mapema, jambo ambalo ni kosa la jinai, pia anaonekana kutumia mamlaka yake ya uwaziri huku akiwahusisha viongozi wa juu.
"Mfano, kutumia jina la rais kutaka kutelekeza ahadi ambazo zilimshinda kwa kipindi chote cha miaka mitano aliyokuwa mbunge.

"Mfano mwingine, Jumamosi ya Julai 19, 2025, Silaa aliandamana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa katika kukagua ujenzi wa barabara kutoka Banana hadi Msongola ambapo alidai kuwa, eti alimuomba mheshimiwa rais. Naye akamtuma Waziri Mchengerwa kwenda kuona mradi husika," walisema baadhi ya watia nia wa jimbo hilo.

Habari zaidi zinasema kuwa, Silaa alionekana akipiga kampeni wazi wazi. Kwani siku hiyo alipopewa fursa ya kuongea, alitumia muda mwingi kujisifia na kuonesha kuwa ana nia ya kuleta maendeleo yaliyomshinda kwa muda wote aliokuwa mbunge.

"Mambo yaliyomshinda kuyatimiza kwa kipindi cha miaka mitano tena akiwa mbunge na waziri, atawezaje kuyatekeleza kwa miezi michache iliyobaki tena akiwa si mbunge ukiachia mbali kuwa anaweza asipitishwe sababu mojawapo ikiwamo ni kuanza kampeni kabla ya wakati?" Alihoji mtia nia mmoja wa jimbo hilo.
Ikazidi kuhojiwa; kwa nini Silaa alikaa kimya hadi kipindi ambacho kisheria muda wake kama mbunge umeisha ndipo aje kujitafutia umaarufu kwenye mradi ambao ulimshinda wakati akiwa madarakani kama mbunge?
Je, ni sahihi Silaa kuendelea kujifanya anafanya kazi za kibunge wakati bunge limeishavunjwa?
Je, hii ni haki mbali ya kuwa kinyume cha sheria na taratibu?

Hata hivyo, licha ya mbunge huyo aliyemaliza muda wake kusema alimuomba mheshimiwa rais amtume waziri wake, kakini Mchengerwa alipopata muda wa kuongea, alisema:
“Nimeshuhudia namna gani wananchi wamekuwa wakiteseka kwa muda mrefu...”
Kwa mujibu wa maneno ya Waziri Mchengerwa ina maana waziri mwenzake na aliyekuwa mwakilishi wa jimbo (Silaa) aliweza kuwaacha wananchi wateseke kwa muda mrefu, atafanya miujiza gani ya kuwaondolea mateso wakati yeye ndiyo sehemu ya mateso hayo?

Ikahojiwa; Je Silaa anamuongopea nani kwenye jambo ambalo liko wazi kuwa alishindwa vibaya sana kuwaletea wananchi wa Ukonga maendeleo kama alivyowaahidi wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2020 ambazo anazirudia tena wakati watu wanajua kila kitu?
Kuna msemo unasema; “nidanganye mara moja, aibu kwako. Nidanganye mara ya pili, aibu kwangu.”
Katika kuumwa na nyoka mara mbili kwenye shimo moja wa kulaumiwa siyo nyoka, bali ni yule aliyeng’atwa mara mbili kwenye shimo moja.

Kwa vile CCM imeonnesha ukomavu mkubwa kisiasa na viwango vikubwa vya utendaji wa haki, inashauriwa iangalie rafu hii anayocheza Silaa hapa Ukonga.
Mtia nia mwingine akasema: "Tunaiomba CCM imzuie Silaa kutumia mamlaka ya uwaziri kufanya kampeni za ubunge kabla ya muda kufika. Kwani, hii si haki mbali na kutaka kumjengea picha mbaya mheshimiwa Rais kuwa anamuunga mkono au hata kampeni zake ambazo zimeanza kabla ya muda.

"Silaa aambiwe kuwa mheshimiwa Rais ni mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye hana mgombea yeyote kwenye jimbo lolote nchini. Hivyo, aache kumuingiza kwenye kampeni zake ambazo zimeanza kabla ya wakati mbali na kuwa kinyume cha sheria na utaratibu wa CCM na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).
"Mwisho, tumashauri mheshimiwa Silaa aache kumuingiza mheshimiwa Rais kwenye mambo ya hovyo kama vile kuanza kampeni kabla ya wakati wake. Tunafahamu.

"Mheshimiwa Rais ana majukumu mengi makubwa ya kitaifa. Hivyo, asiingizwe kwenye siasa za majimbo. Cha msingi, abebe mzigo wake mwenyewe. Silaa acha mara moja kucheza rafu unayocheza Ukonga. Yakupasa kutambua kuwa unachafua jina la chama kwa faida binafsi jambo ambalo ni kinyume na sera na taratibu za CCM.

"Uchaguzi ni haki ya kila Mtanzania, hivyo, unapaswa kufanyika kwa haki na kufuata taratibu mojawapo ikiwa ni kusubiri INEC itangaze siku rasmi ya kuanza kampeni kisheria. Je, Silaa, ana uhakika gani kuwa atapitishwa wakati ameanza kuvunja kanuni na taratibu hata kabla ya mchakato kuisha?" Alimaliza mtia nia huyo kwa mara nyingine jimboni hapa.
img-20250720-wa00055737747684410987593.jpg
 
"Uchaguzi ni haki ya kila Mtanzania, hivyo, unapaswa kufanyika kwa haki na kufuata taratibu mojawapo ikiwa ni kusubiri INEC itangaze siku rasmi ya kuanza kampeni kisheria. Je, Silaa, ana uhakika gani kuwa atapitishwa wakati ameanza kuvunja kanuni na taratibu hata kabla ya mchakato kuisha?" Alimaliza mtia nia huyo kwa mara nyingine jimboni hapa.View attachment 3412158
Viongozi kama hawa ambao hawana mchango kwenye majimbo yao wangekatwa majina yao mapema kabisa! Hawana hata aibu kurudi kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge!

Kule Kivule kaacha kunanuka sana halafu bila aibu huyu hapa tena anautaka ubunge!!!? Kweli???
 
Kwa hiyo mnataka shughuli za maendeleo zisimame na kusitishwa jimboni kwenu? Kwa hiyo mnataka wananchi washindwe kupata huduma na miradi ya maendeleo itakayo zalisha ajira kwa Vijana? Kwa hiyo mnataka mbunge aache kupigania wananchi na kuwaletea maendeleo?

Embu acheni kuchafuana na kuleta hoja za kijinga na kitoto zisizo na mashiko.

Halafu hivi kwa akili yenu mnafikiri mnaweza kumuangusha Mheshimiwa Waziri kwenye uchaguzi? Futeni hizo ndoto kabisa. Mheshimiwa Jerry Slaa ndiye ataendelea kuwa mbunge wenu .
 
Mengine Acha watu waseme
 
Mtajuana
 
We jamaa konyo sana! Sikutegemea unaweza kuwa lichawa lisilo na thamani!

Nimekulinganisha na toilet paper ambayo mnyaji anaitumia kupangusa vima kwenye matraco yake! Ndiyo, umestahili!! Kama lijitu linaharibu jimbo na wewe unahangaika kulisafisha umekuwa toilet paper!!
 
Wangese kweli CCM mbona CHURA a.k.a Dalali kawa ngombe bila kuchukua fomu y kugombea hawasemi? Kwa ufupi kapitishwa kwa mdomo tu kwani ndio utaratibu w CCM?

KAZI ni kipimo cha utu
 
umepata wapi nguvu ya kuandika hili bango? Wew ni mgombea ubunge?
 
"Mambo yaliyomshinda kuyatimiza kwa kipindi cha miaka mitano tena akiwa mbunge na waziri, atawezaje kuyatekeleza kwa miezi michache iliyobaki tena akiwa si mbunge ukiachia mbali kuwa anaweza asipitishwe sababu mojawapo ikiwamo ni kuanza kampeni kabla ya wakati?" Alihoji mtia nia mmoja wa jimbo hilo.

tarehe 30 Jerry akasweka ndani kwa kukutwa na kitita Cha pesa na kura feki alizozileta ziongezwe baada ya kuambiwa kura haijatosha na Wana Ukonga
 
Back
Top Bottom