Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 May 25, 2023 #21 mzabzab said: Hawa jamaa wanajielewa sana sio sie tunajamba jamba tuu huku tunakufa humu humu nchini mwetu Click to expand... Kwa kipi Mzeeo
mzabzab said: Hawa jamaa wanajielewa sana sio sie tunajamba jamba tuu huku tunakufa humu humu nchini mwetu Click to expand... Kwa kipi Mzeeo
Roca fella JF-Expert Member Joined May 13, 2023 Posts 2,076 Reaction score 4,162 May 25, 2023 #22 hivi kule South Africa, bangi wanauzaje kwa gram...? 😁🙃
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,677 May 25, 2023 #23 Mwachiluwi said: Kwa kipi Mzeeo Click to expand... Sasa hapo sii wamesema kabisa illegal immigrats ndio wanawafanyia kazi. Wee huoni kuwa hiyo ni akili kubwa. Hawana ishu na foreigners wenye permits
Mwachiluwi said: Kwa kipi Mzeeo Click to expand... Sasa hapo sii wamesema kabisa illegal immigrats ndio wanawafanyia kazi. Wee huoni kuwa hiyo ni akili kubwa. Hawana ishu na foreigners wenye permits
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 May 25, 2023 #24 mzabzab said: Sasa hapo sii wamesema kabisa illegal immigrats ndio wanawafanyia kazi. Wee huoni kuwa hiyo ni akili kubwa. Hawana ishu na foreigners wenye permits Click to expand... Manwewe unataka kitokew hapa
mzabzab said: Sasa hapo sii wamesema kabisa illegal immigrats ndio wanawafanyia kazi. Wee huoni kuwa hiyo ni akili kubwa. Hawana ishu na foreigners wenye permits Click to expand... Manwewe unataka kitokew hapa
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,677 May 25, 2023 #25 Mwachiluwi said: Manwewe unataka kitokew hapa Click to expand... Ndio lazima tuondoe illegal immigrants
Mwachiluwi said: Manwewe unataka kitokew hapa Click to expand... Ndio lazima tuondoe illegal immigrants
Hyrax JF-Expert Member Joined May 20, 2023 Posts 1,352 Reaction score 3,896 May 25, 2023 #26 TUKANA UONE said: Waraka huo hapo chini,wapeni Tahadhari ndugu,jamaa na marafiki zenu Click to expand... Hao jamaa wana roho ngumu saana aisee
TUKANA UONE said: Waraka huo hapo chini,wapeni Tahadhari ndugu,jamaa na marafiki zenu Click to expand... Hao jamaa wana roho ngumu saana aisee
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 40,530 Reaction score 46,614 May 25, 2023 #27 TUKANA UONE said: Waraka huo hapo chini,wapeni Tahadhari ndugu,jamaa na marafiki zenu Click to expand... Propaganda za makaburu hizo, wanalipa wahuni kufanya fujo ili waAfrika waonekqne hawapendani
TUKANA UONE said: Waraka huo hapo chini,wapeni Tahadhari ndugu,jamaa na marafiki zenu Click to expand... Propaganda za makaburu hizo, wanalipa wahuni kufanya fujo ili waAfrika waonekqne hawapendani
Cymon Taylor JF-Expert Member Joined Apr 3, 2019 Posts 1,754 Reaction score 3,428 May 26, 2023 #28 FRANCIS DA DON said: Propaganda za makaburu hizo, wanalipa wahuni kufanya fujo ili waAfrika waonekqne hawapendani Click to expand... Kama inakuja vile!!!
FRANCIS DA DON said: Propaganda za makaburu hizo, wanalipa wahuni kufanya fujo ili waAfrika waonekqne hawapendani Click to expand... Kama inakuja vile!!!
Mine eyes JF-Expert Member Joined Apr 11, 2016 Posts 6,581 Reaction score 7,231 May 26, 2023 #29 FRANCIS DA DON said: Propaganda za makaburu hizo, wanalipa wahuni kufanya fujo ili waAfrika waonekqne hawapendani Click to expand... Wakati mwingine huwa akili yako inakuwa na akili mkuu!
FRANCIS DA DON said: Propaganda za makaburu hizo, wanalipa wahuni kufanya fujo ili waAfrika waonekqne hawapendani Click to expand... Wakati mwingine huwa akili yako inakuwa na akili mkuu!
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,163 Reaction score 11,825 May 26, 2023 #30 Katukatu said: Kati ya weusi mazuzu ni wasauzi hivi wanadeal na kuwafukuza waafrica wenzao, wanawakwepa wazungu. Wajaribu kuleta hizi habari viunga vya Petori waone😂 Click to expand... wazungu wana tija kwa taifa. Weusi ni mzigo
Katukatu said: Kati ya weusi mazuzu ni wasauzi hivi wanadeal na kuwafukuza waafrica wenzao, wanawakwepa wazungu. Wajaribu kuleta hizi habari viunga vya Petori waone😂 Click to expand... wazungu wana tija kwa taifa. Weusi ni mzigo
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,163 Reaction score 11,825 May 26, 2023 #31 DR SANTOS said: Hata sisi nchi yetu imejaa hatutaki foreighner Click to expand... acha ushamba
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,513 Reaction score 15,154 May 26, 2023 #32 TUKANA UONE said: Waraka huo hapo chini,wapeni Tahadhari ndugu,jamaa na marafiki zenu View attachment 2634816 Click to expand... Hii ni baada ya wananchi kutia vipigo vya mbwa Koko.
TUKANA UONE said: Waraka huo hapo chini,wapeni Tahadhari ndugu,jamaa na marafiki zenu View attachment 2634816 Click to expand... Hii ni baada ya wananchi kutia vipigo vya mbwa Koko.
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,495 Reaction score 19,343 May 26, 2023 #34 Mimi nafikiri wange deal na makaburu wawaachie nchi yao, labda kama wanataka kuzunguka mbuyu...
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,280 Reaction score 9,451 May 26, 2023 #35 mzabzab said: Sasa hapo sii wamesema kabisa illegal immigrats ndio wanawafanyia kazi. Wee huoni kuwa hiyo ni akili kubwa. Hawana ishu na foreigners wenye permits Click to expand... Kabla ya kuwazingua watakuwa wanaomba waonyeshwe makaratasi au??
mzabzab said: Sasa hapo sii wamesema kabisa illegal immigrats ndio wanawafanyia kazi. Wee huoni kuwa hiyo ni akili kubwa. Hawana ishu na foreigners wenye permits Click to expand... Kabla ya kuwazingua watakuwa wanaomba waonyeshwe makaratasi au??
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,677 May 26, 2023 #36 Zeus1 said: Kabla ya kuwazingua watakuwa wanaomba waonyeshwe makaratasi au?? Click to expand... Yaani wee illegal immigrants huwezi kuwajua?
Zeus1 said: Kabla ya kuwazingua watakuwa wanaomba waonyeshwe makaratasi au?? Click to expand... Yaani wee illegal immigrants huwezi kuwajua?
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,280 Reaction score 9,451 May 26, 2023 #37 mzabzab said: Yaani wee illegal immigrants huwezi kuwajua? Click to expand... Dah,how mkuu??
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 5,052 Reaction score 8,298 May 26, 2023 #38 Aisee
T The Evil Genius JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 6,151 Reaction score 20,068 May 26, 2023 #39 Katukatu said: Kati ya weusi mazuzu ni wasauzi hivi wanadeal na kuwafukuza waafrica wenzao, wanawakwepa wazungu. Wajaribu kuleta hizi habari viunga vya Petori waone😂 Click to expand... Swali kwa nini weusi wasikae kwenye nchi zao wakimbilie huko? Wazungu wa huko ni wakazi halali. Weusi piganieni mazingira mazuri ya maisha kwenye nchi zenu. Msisubiri watu wengine waandae maisha yao kwa vizazi vyao mkimbilie huko.
Katukatu said: Kati ya weusi mazuzu ni wasauzi hivi wanadeal na kuwafukuza waafrica wenzao, wanawakwepa wazungu. Wajaribu kuleta hizi habari viunga vya Petori waone😂 Click to expand... Swali kwa nini weusi wasikae kwenye nchi zao wakimbilie huko? Wazungu wa huko ni wakazi halali. Weusi piganieni mazingira mazuri ya maisha kwenye nchi zenu. Msisubiri watu wengine waandae maisha yao kwa vizazi vyao mkimbilie huko.
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,677 May 26, 2023 #40 Zeus1 said: Dah,how mkuu?? Click to expand... Wee utatoa kibali kwa mchimba mitaro au drug dealer?