technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,441
- 50,755
Hali ni tete nchini Gambia baada ya radio kuzimwa na kutoendelea kutoa matangazo.
Pia mwenyekiti wa tume ya uchaguzi yupo na kigugumizi mpaka sasa juu ya nini cha kufanya baada ya Rais aliyepo madarakani kukataa kushindwa na mpinzani wake...