Kimenuka CHADEMA

We nawe sasa unatuchosha..........
kinuke.....kioze.........tar 25 Oct lazima kiliwe kama kilivyo..........

Haaa..haaaa umeweka siku yangu sawa..ngoja nimalizie kicheko hoooooo..huuuu.
 
Kama BABU ndio alikuwa silaha ya mwisho, basi CCM imekufa.
 
Tumeshapata na kusikiliza audio clip ya masaburi na vijana wake hao. Hatuna wasiwasi na hilo. ni mipango ya mfa maji
 
Wamfuate USA ama waende act wazalendo kimnya kimnya
 
Huyo hata chakula hajala anangojea buku tano kufikisha ujumbe pole yake. Njaa mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…