Kimenuka CHADEMA

Hii ni mwanza kama sijakosea
 
...hahahahaaa walioratibu ufigisu huu wamekosea kujipanga bhahahaaaa....
 
SIO WALIOKAMATWA JANA HAWA na wananchi na kupelekwa police.?
 
Wacha waondoke nae sisi twataka mabadiliko tu
 
Kumbe mtoa mada ni mr. Chin? Akili zake ziko Chin wala hasumbui.
 
Msitutoe ktk hoja hata km ni kwa hisani ya Lumumba njooni mjibu kwanza yaliyosemwa ni uongo kwa kiwango gani.
 
Watanzania wengi tumeshaamua kuwa tutamchagua lowassa kuwa rais na amiri jeshi mkuu wa jmt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…