Kimenuka CCM Arusha sasa vipande vipande

Nikichekesho sana,
 
Lowassa katenda dhambi isiyo sameheka vinginevyo kama unataka kujichafua mwenyewe.

jiheshim kijana dhambi isiyosameheka ni ipi? unaugua nini? Jk ndo ametenda dhambi isiyo sameheka. Aliambiwa Richmond tuifitilie mbali akagoma. Sasa itamtafuna. Mwache EL aendelee name siasa zake, huenda ndiye Rais ajaye.
 
Umesema vema, lakini ndani ya ccm nani anaweza kuwa na tafakuri ya hivi?
Hata wale ambao wana mawazo mazuri hawawezi kwa sababu ni wachumia tumbo.
Nobody in ccm will think beyond his nose.

Wamefumbwa midomo na utafutaji ridhiki
 
Kafungwa mikono na miguu halafu anaambiwa apigane.Hiyo kamba iliyomfunga ikikatika ndipo mambo yatakapojulikana.Lowassa ni mpiganaji.wakimtema tu Lowassa wamekwisha.

Ndio itakuwa kibra ya ccm
 
Kafungwa mikono na miguu halafu anaambiwa apigane.Hiyo kamba iliyomfunga ikikatika ndipo mambo yatakapojulikana.Lowassa ni mpiganaji.wakimtema tu Lowassa wamekwisha.
Huo mpasuko hautakuwa na jinsi ya kuuziba
 
Kitakacho mwokoa Lowassa ni kutamka Richmond ni ya nani. Siku akisema ni ya nani hata mimi nitajiunga na Team Lowassa .
 
jiheshim kijana dhambi isiyosameheka ni ipi? unaugua nini? Jk ndo ametenda dhambi isiyo sameheka. Aliambiwa Richmond tuifitilie mbali akagoma. Sasa itamtafuna. Mwache EL aendelee name siasa zake, huenda ndiye Rais ajaye.

Wacha tumuombee mzee mamvi
 
Au kuna karata zinachezwa ndani ya CCM...hivi Mh.Kinana na Nape mbona hawasikiki...hapa kuna mambo ya kulipizana kisasi hebu tusubiri tuone au labda wanataka kujitoa wasubiri baada ya 5 yrs.Maana hawa jamaa kwa visasi ndio wenyewe
 
Wanasubiri mafuriko yapite na maji yatulie ndipo wanunue dodoki wamsafishe na sabuni tesa
 
CCM (Nape) alishasema hawana dodoki la kuweza kumsafisha Lowassa!
 
Matukio ya Bongo yanaweza kukufanya kuzinduka hata kama ulikuwa umezimia[/QUOTE]

pokea like yangu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…