Nadhani suala la CCM kuwasafisha watuhumiwa wa Escrow liko wazi sana kwa mtu yeyote mwenye kutafakari; kwamba CCM wanachotaka kufanya ni kuwashawishi wananchi wasiione CCM kama chama cha ufisadi hasa tunapoelekea kwenye suala la uchaguzi. Hata hivyo, hii inaweza kuwaumiza CCM wenyewe, kwamba badala ya wananchi kuona watuhumiwa wa Escrow hawakuwa na makosa, wataona CCM ni chama cha mafisadi wanaoteteana na kulindana hata wakifanya kosa gani. Sidhani kama CCM walitafakari kwa makini athari za kutaka kuwasafisha watu wa Escrow, wakati Bunge lilishatoa tamko. Infact, ushauri wangu kwa CCM ni kwamba wangetumia hiyo nafasi kusema CCM iko tayari kumwondoa fisadi yeyote ndani ya chama kama walivyofanya kwa watuhumiwa wa Escrow.
Muda mfupi baada ya Ikulu kuwasafisha makada waliotuhumiwa kwa kashfa za Tokomeza ujangili na Escrwo wana ccm arusha nao walipuka.
Wanahoji kwanini lowasa hasafishwi kama hao wengine?
Wahiji kwanini lowasa amefungwa mikono na mdomo kisha anaambiwa apigane?
Wanachama hao wa ccm arusha wanahoji kwanini ikulu iwasafishe Maswi,mhongo na wengine lakini haijawahi kudhibitisha wala kukataa tuhuma zilizoelekezwa kwa lowasa?
Wataka na lowasa asafishwe lasivyo pata chimbika.
Inabidi ccm ijitafakali isifanye mambo kimazoea wakae wakijua kuna ukawa
Nadhani suala la CCM kuwasafisha watuhumiwa wa Escrow liko wazi sana kwa mtu yeyote mwenye kutafakari; kwamba CCM wanachotaka kufanya ni kuwashawishi wananchi wasiione CCM kama chama cha ufisadi hasa tunapoelekea kwenye suala la uchaguzi. Hata hivyo, hii inaweza kuwaumiza CCM wenyewe, kwamba badala ya wananchi kuona watuhumiwa wa Escrow hawakuwa na makosa, wataona CCM ni chama cha mafisadi wanaoteteana na kulindana hata wakifanya kosa gani. Sidhani kama CCM walitafakari kwa makini athari za kutaka kuwasafisha watu wa Escrow, wakati Bunge lilishatoa tamko. Infact, ushauri wangu kwa CCM ni kwamba wangetumia hiyo nafasi kusema CCM iko tayari kumwondoa fisadi yeyote ndani ya chama kama walivyofanya kwa watuhumiwa wa Escrow.
Pasco ameshaanza ku-play part yake ya kumsafisha kwa hapa jfAtasafishwa tu kwani kwa CCM kusafishana ni jadi leo kesi ya Mramba na wenziwe akina mgonja ina miaka kumi haijaisha ila Farijara anaongezewa miaka tu kila wakati anapopaswa kutolewa
tofautisha dhambi ya Lowasa na wengine.CCM acheni double standardLowassa katenda dhambi isiyo sameheka vinginevyo kama unataka kujichafua mwenyewe.
Kafungwa mikono na miguu halafu anaambiwa apigane.Hiyo kamba iliyomfunga ikikatika ndipo mambo yatakapojulikana.Lowassa ni mpiganaji.wakimtema tu Lowassa wamekwisha.
Lakini kuna watu humu walisema matokeo mabaya ya uchaguzi wa serikali za mitaa ni kwa sababu ya Escrow. Sasa itakuwaje wa take kutenda kama unavyosema? Hawa waliosafishwa hawakutenda makosa hayo kwa hiari au matakwa yao ya kiarifu, ndiyo maana ni vigumu kuwaadhibu.Nadhani suala la CCM kuwasafisha watuhumiwa wa Escrow liko wazi sana kwa mtu yeyote mwenye kutafakari; kwamba CCM wanachotaka kufanya ni kuwashawishi wananchi wasiione CCM kama chama cha ufisadi hasa tunapoelekea kwenye suala la uchaguzi. Hata hivyo, hii inaweza kuwaumiza CCM wenyewe, kwamba badala ya wananchi kuona watuhumiwa wa Escrow hawakuwa na makosa, wataona CCM ni chama cha mafisadi wanaoteteana na kulindana hata wakifanya kosa gani. Sidhani kama CCM walitafakari kwa makini athari za kutaka kuwasafisha watu wa Escrow, wakati Bunge lilishatoa tamko. Infact, ushauri wangu kwa CCM ni kwamba wangetumia hiyo nafasi kusema CCM iko tayari kumwondoa fisadi yeyote ndani ya chama kama walivyofanya kwa watuhumiwa wa Escrow.
Hakuna kitu hapa
huo uwongo waliosafisha tokomeza/escrow ni tume richmond iliundiwa tume ikkuta na lowasa kutuhumiwa
huo uwongo waliosafisha tokomeza/escrow ni tume richmond iliundiwa tume ikkuta na lowasa kutuhumiwa
Usitumie kichwa kufugia tu nywele
Nadhani suala la CCM kuwasafisha watuhumiwa wa Escrow liko wazi sana kwa mtu yeyote mwenye kutafakari; kwamba CCM wanachotaka kufanya ni kuwashawishi wananchi wasiione CCM kama chama cha ufisadi hasa tunapoelekea kwenye suala la uchaguzi. Hata hivyo, hii inaweza kuwaumiza CCM wenyewe, kwamba badala ya wananchi kuona watuhumiwa wa Escrow hawakuwa na makosa, wataona CCM ni chama cha mafisadi wanaoteteana na kulindana hata wakifanya kosa gani. Sidhani kama CCM walitafakari kwa makini athari za kutaka kuwasafisha watu wa Escrow, wakati Bunge lilishatoa tamko. Infact, ushauri wangu kwa CCM ni kwamba wangetumia hiyo nafasi kusema CCM iko tayari kumwondoa fisadi yeyote ndani ya chama kama walivyofanya kwa watuhumiwa wa Escrow.
Wapendwa katika Bwana wala msilalamike kuhusu CCM kusafishana, usafi wao ni kweny maandishi ila mioyoni wa Watanzania wanaoteseka na uovu huu, hakuna aliye msafi na kwa kushupaa shingo huku kwa CCM ndio kutasababisha mlipuko wa hasira za wananchi, siku hazigandi na tarehe zinayoyoma kwa kasi kuelekea october, mafuriko ndani ya CCM hayazuiliki hata waweke kingo za namna gani, tayari CCM i hoi kwa mgawanyiko wa wao kwa wao, kilichobaki ni kwa mpinzani wake kumalizia palipobaki na CCM kubaki historia.........Mungu atubariki katika hili, tukeshe tukiomba kwani saa ya ukombozi ni sasa.
erroo...muna nyima lowassa kuwa raisi wa nshii hii...
washaa hiyo rafiki