Kimeniuma kwakweli

Haya hayaa...wenyewe wamerudi hapo sasa
 
love dont cost a thing..
 
gentleman hawezi kuja mwaga radhi kwenye kadamnasi namna hii, si walitongozeana pm, hili bandiko angemtumia huko huko pm, w'end njema dada angu

Thanks ila nimegundua kitu hapa..kweli wanaume mlio humu wengi hamna uvumilivu kabisa....ukisoma mada nyingi zenye malalamishi ya jf hupostiwa na wakaka wakieleleza lawama kwa wadada mara tu mambo yanapokua vice versa pindi wakutanapo ..
 
​dada wanaume siku hizi ni wachache, wengi ni wavulana ndo mana matokeo yake ndo haya unayoyashudia
 
Thanks ila nimegundua kitu hapa..kweli wanaume mlio humu wengi hamna uvumilivu kabisa....ukisoma mada nyingi zenye malalamishi ya jf hupostiwa na wakaka wakieleleza lawama kwa wadada mara tu mambo yanapokua vice versa pindi wakutanapo ..

Tukiwatongoza sisi wazee wenzenu mnasema hatuna hela, mara ooh hatuna six pack kama za masharobaro. Mkifunuliwa sketi huko halafu mkianikwa hadharani mnajumlisha wanaume wote wa JF. Mimi binafsi umenidhalilisha, niombe radhi. Nina miaka mingi humu umewahi kunisikia nikilalamika au unadhani sijatapeliwa na wadada wa JF?
Ukitendwa kimyakimya leo dawa yake jifanye mjinga kesho akiingia 18 yako unamfanyia umafia tu, ngoma inakua droo atasimulia mbele ya safari....
 
Hayari sana
Aliyetoa hela bandia nae kapewa cheni bandia ngoma droo
 
grafani nimesema wengi wenu sio wote
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…