wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
haaaahhaa...Hicho ningelala nacho Mbere!!
na dawa hawatumii![emoji23] [emoji23] [emoji23] yani watu wa humu ni vichaa
Nmecheka jamani.kingekuwa cha mawe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sipati picha kingeitwa kimbunga Magu....
Madhara ambayo kingeleta ni zaidi ya haya
Vimbunga vingi vyenye madhara vina majina ya kike.. Katrina, Magdalena e.t.c
Hicho Keneth ni cha kiume kitakuwa hakina madhara.
Nasikia kimetokea lumumbaNacho kinatokea baharini?
Kimbunga Jiwe KichaaVimbunga vingi vyenye madhara vina majina ya kike.. Katrina, Magdalena e.t.c
Hicho Keneth ni cha kiume kitakuwa hakina madhara.
Mara kije kimbunga manengelo