Kimbunga Japan

Hivi si huko wenzetu wako vizuri kwenye mambo ya utabiri wa hali ya hewa? Vipi hawakuliona hilo mapema ili watu wahame hiyo sehemu kwa muda hadi kimbunga kikiisha?!!
 
Poleni sana wajapani, liwe somo kwetu kujua nini chanzo na vipi tuepukane na hali hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…