Kimbunga Helen Chaua Watu Zaidi ya 200 Marekani

Kimbunga Helen Chaua Watu Zaidi ya 200 Marekani

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
79,425
Reaction score
85,248
My Take
USA wako busy na Israel huku watu wao wanakufa bila Msaada 😁😁😁👇👇

--
hurricane-helene.jpg

Idadi ya watu waliofariki kutokana na kimbunga Helene nchini Marekani, imevuka watu 200 wakati huu vikosi vya uokoaji vikiendelea kuwahamisha na kutafuta watu zaidi ambao hawajulikani walipo, hiki kikiwa kimbunga kibaya zaidi kushuhudiwa tangu kile cha Katrina.

Akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na kimbunga Helene, rais Joe Biden , ameahidi msaada zaidi na kutaka wanasiasa kuweka kando tofauti zao ili kusaidia raia.

Mamlaka zinasema mamia ya watu hawajulikani walipo huku nyumba zaidi ya laki 7 zikiwa hazina umeme kwa zaidi ya wiki sasa.

Pia, soma: Kimbunga cha Helene kimeua zaidi ya watu 90 Nchini Marekani
 
Na amejiogesha huku amechomekea shati lake la kitenge kama Mbilia Bel.😂
Hahahahhahahahahahajjahahahahajahahaha

Daaahh nimecheka asubuhi hahahha duuh

Yani eti mtu anaiecheka marekani kupoteza watu 200 kwenye maafa wakati yeye mwenywe akidondosha shilingi 200 anainama kuitafuta kila kona ya chumba akifukua mavyombo vyombo machafu ambayo hajaosha tangu apikie makande juzi
 
Back
Top Bottom