wakusoma
JF-Expert Member
- Feb 25, 2008
- 1,084
- 1,061
Kama kigezo cha kufunga kona bar na ile club yetu maarufu ya ambiance.. Ambayo sisi wanafunzi tuliopitia UDSM ilikuwa inaatusaidia Sana kupata wale "fisi"au maarufu kama "mipaka shume" kwa urahisi basi na hizi bar nilizotaja nazo zifungwe.
Maana kwa uchafu unaofanyika buguruni usiku..basi ni mara100 ya ambiance.
Kwa wale ambao huwa mnasafiri kwa ndege nje ya nchi Kama Mimi hasa usiku jaribu kukatiza pale kimboka mnapokuwa mnaenda airport usiku.. Mtaona midudu washa had ya buku..