Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,096
hiyo namba mbili ni kichekesho, mwandishi hajui anachoandika, kwasababu umbali wa mombasa .
Hawa BBC wengine ni "wale wale" kwa hiyo wanaweza kusema lolote!
!
!
tunasubiri tuunde tume ya uchunguzi tutaipati na hadidu za rejea,ilete mapendekezo ya nini kifanyike na hatua za kuchukua. Infact kuunda tume ni mchakato unaohitaji mkurabita na mkukuta katika big results now. Kwa sasa tunangojea fedha za wafadhili kwa ajili ya kazi hiyo na zikifika tu tutaanza mara moja.
Rejea hutuba ya Rais Kikwete kuhusiana na jambo hili.
Isitoshe huyo rais wa EA atachaguliwa kwa mtindo gani? ...
Watanzania hatukubali kuburuzwa.
Waheshimiwa komalieni huko Saddec EAC bwaga tupate fulsa za kuingia bondeni kwa Entry bila VISA .