Kama ofisi hizi zinawashauri basi wakamatwe na wafunguliwe mashtaka ya kuhujumu taifa kwa ushauri mbovu kama huu....si kipindi kirefu wameshauri kujengwe the so called DART kisha wanaibuka na Treni kwenye njia ile ile....Nini dhumuni la kuwepo DART, Treni, daladala, bajaji na pikipiki njia moja then unasema unaondoa msongamano...Hizi Bil. 220 za DART zilitosha kujenga treni toka mjini mpaka Mbez/Kiluvya na kuondoa uchuro huu wa usafiri kwa wakazi wa Dar west..kuamua kujenga vyote kwa wakati mmoja ni uharibifu wa fedha za watanzania alhali mji unapanuka na hakuna dira ya maana kuweka miundombinu mizuri ya usafiri kwa maeneo husika e.g Mbagala, Kongowe mpaka Mkuranga, Kimara Mwisho, Mbezi mpaka Msakuzi, Majohe etc,.... majanga si kuanguka kwa maghorofa tu,,, hata hili nalo ni janga linalosababishwa ama na wataalam (washauri wabovu) wanaopuuzia ushauri (wanasiasa),,,, hawa wanastahili KUNYONGWA