Kimara hapapitiki

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
1,544
Reaction score
1,722
Salaam.
Natoa tahadhari kwa yeyote anaetokea Mbezi akitaka kwenda mjini kupitia Kimara,hapapitiki Kimara mda huu maaskari wamezuia magari yasiende mjini,nadhani kutakuwa na msafara wa kiongozi,mnaotaka kwenda mjini sasa hivi tafuteni njia zingine mbadala,Kinyerezi au Goba itakuwa ni muafaka kwenu.
 
kutakuwa kuna mwizi mmoja wa siisiiemu anasubiriwa apite hajawahi kulipa kodi posho kibao ila nyie walipa kodi mnazuiliwa, poleni lakini ndi mlivyochagua kuishi hivyo yaani watu wema mnakimbizwa na wezi na mnakubali tu. mkitoka hapo mnasifi foleni ya mama SHAME on you all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…