Kima cha chini cha mshahara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kima cha chini cha mshahara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mr Mayunga, Jun 19, 2012.

 1. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kuna mwenye tetesi kuhusu kima cha chini cha mshahara?hizi habari ni muhimu kuzifahamu.
   
 2. Imam Yussuf Shamsi

  Imam Yussuf Shamsi Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa mujibu wa bajeti ilivyomwa hakuna engezeko la mshahara
   
 3. M

  Mfwalamanyambi JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Acha utani wewe, isome vizuri hiyo bajeti inaonyesha mshahara utaongezeka japo ni kidogo sana, kima cha chini kitapanda toka 150,000 hadi 170,000 tu.
   
 4. Magu

  Magu Senior Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Watanzania tunapenda sana speculation na ghosping, huwezi kusubiri hotuba ya waziri wa utumishi tukawa na taarifa rasmi?

  Unajua serikali kupandisha ile wanaita exempted income from tax (a minimum amount liable for tax) watu wanasema ndo mshahara umepanda hadi 170,000.

  Si lazima iwe ndo kiwe kima cha chini cha mshahara japo mazoea ndo yamekuwa ndo hivyo.
   
Loading...