Kima asababisha vita vya kikabila nchini Libya

Kima asababisha vita vya kikabila nchini Libya

Hahaha...waarabu watu wa ajabu sana....yaan wao kupiga mtu risasi au kuua kwa namna yeyote ile kwao ni kama kukohoa tu..kitu cha kawaida sana.....wana roho ngumu sana.....
 
Sio rahisi kuonea huruma watu wajinga kiasi hicho.
 
marekani wametuweza sana wabongo!! maana sie tukisikia jambo kabla hatujathibitisha kama Ni kweli au aungo tushaanza kutoa maoni
Kwahyo BBC ni marekani? Afu watunge huo utoto marekani supper power watanufaikaje kwa propaganda ya kijinga ka hyo?
 
Mimi nashangaa sisi waafrika na waarabu sijui tuna akili gani
 
Back
Top Bottom