Kima asababisha vita vya kikabila nchini Libya

CORAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
2,827
Reaction score
1,858
Ni ajabu ba kweli mwana JF.

Nchini Libya kima mmoja wa kufugwa alimshambulia binti mdogo. Familia ya binti huyo ikaamua kulipiza kisasi kwa familia iiyofuga huyo kima. Waliua watoto 3 pamoja na huyo kima.

Vita vikahama kutoka familia na familia hadi kabila kwa kabila. Havikuwa vita vya sime, mapanga na visu.

Silaha nzito za kivita hususan vifaru, mizinga,mabomu na silaha nyingine nzito zilitumika!!

Taarifa za awali ni kwamba watu 20, walikufa na wengine 50 kujeruhiwa.

Lakini idadi inaweza kuongezeka maana hiyo ni hesabu ya upande wa kabila moja lililohusika.

Nadhami haya ni madhara ya silaha nzito kumilikiwa kiholela nchi ikiwa na vurugu za vita.

CHANZO: BBC

-------
9dafe055cde24cacba421e7031d04abf_18.jpg

Days of deadly tribal clashes have erupted in southern Libya after a pet monkey attacked a high school girl.

Abdel-Rahman Areish, the head of Sabha city hospital, told the Associated Press news agency on Sunday 20 people have been killed and 50 wounded. Reuters said at least 16 people died in four days of fighting.

Bader al-Daheli, a civil activist, said the two main tribes in the southern city of Sabha - Awlad Suleiman and Gaddadfa - are each backed by heavily armed groups.

According to residents and local reports, the latest bout of violence erupted after a monkey that belonged to a shopkeeper from the Gaddadfa tribe attacked a group of schoolgirls passing by.

The monkey pulled off a girl's headscarf and reportedly bit and scratched her, leading men from the Awlad Suleiman tribe to retaliate by killing three Gaddadfa people - as well as the monkey.

"There was an escalation on the second and third days with the use of tanks, mortars, and other heavy weapons," a resident told Reuters on condition of anonymity because of the denigrating security situation.

"There are still sporadic clashes and life is completely shut down in the areas where there has been fighting."

Source: Monkey attack sets off deadly tribal clashes in Libya
 
marekani wametuweza sana wabongo!! maana sie tukisikia jambo kabla hatujathibitisha kama Ni kweli au aungo tushaanza kutoa maoni
 
daima nch ikiwa na aman, meng kma vile udin, ukabla na ukanda hu2lia. nch ikiingia ktk vita udin, ukabila na ukanda navyo uibuka polen walibya. hata nch ikipata machafuko kdogo tu hayo yatapata nafas ya kuibuka. mungu tuepushirie mbal machafuko
 
Huyo
Ni ajabu ba kweli mwana JF.

Nchini Libya kima mmoja wa kufugwa alimshambulia binti mdogo. Familia ya binti huyo ikaamua kulipiza kisasi kwa familia iiyofuga huyo kima. Waliua watoto 3 pamoja na huyo kima.

Vita vikahama kutoka familia na familia hadi kabila kwa kabila. Havikuwa vita vya sime, mapanga na visu.

Silaha nzito za kivita hususan vifaru, mizinga,mabomu na silaha nyingine nzito zilitumika!!

Taarifa za awali ni kwamba watu 20, walikufa na wengine 50 kujeruhiwa.

Lakini idadi inaweza kuongezeka maana hiyo ni hesabu ya upande wa kabila moja lililohusika.

Nadhami haya ni madhara ya silaha nzito kumilikiwa kiholela nchi ikiwa na vurugu za vita.

CHANZO: BBC

-------
View attachment 437330

Days of deadly tribal clashes have erupted in southern Libya after a pet monkey attacked a high school girl.

Abdel-Rahman Areish, the head of Sabha city hospital, told the Associated Press news agency on Sunday 20 people have been killed and 50 wounded. Reuters said at least 16 people died in four days of fighting.

Bader al-Daheli, a civil activist, said the two main tribes in the southern city of Sabha - Awlad Suleiman and Gaddadfa - are each backed by heavily armed groups.

According to residents and local reports, the latest bout of violence erupted after a monkey that belonged to a shopkeeper from the Gaddadfa tribe attacked a group of schoolgirls passing by.

The monkey pulled off a girl's headscarf and reportedly bit and scratched her, leading men from the Awlad Suleiman tribe to retaliate by killing three Gaddadfa people - as well as the monkey.

"There was an escalation on the second and third days with the use of tanks, mortars, and other heavy weapons," a resident told Reuters on condition of anonymity because of the denigrating security situation.

"There are still sporadic clashes and life is completely shut down in the areas where there has been fighting."

Source: Monkey attack sets off deadly tribal clashes in Libya
Ndiyo Lana ya Gaddafi hiyo,Obama mwenyewe kakili alifanya makosa kuvamia libya,watu walikuwa wanalipwa kila mwezi hata kama huna job
 
marekani wametuweza sana wabongo!! maana sie tukisikia jambo kabla hatujathibitisha kama Ni kweli au aungo tushaanza kutoa maoni
Sasa mkuu marekani kaingiaje hapa?sometime tunajazana upepo bila sababu ya msingi coz uzi kauleta mbongo tena kaandika kiswahili sasa huo umarikani uwapi hapo?labda nirudi nikasome tena may be pana sehemu sijaona.
 
marekani wametuweza sana wabongo!! maana sie tukisikia jambo kabla hatujathibitisha kama Ni kweli au aungo tushaanza kutoa maoni
Ata kamma sio kweli.....shit is funny and suprising...,ata kama ni stry alietunga nmemvulia kofia
 
Duh huyo kima atakua genius sana anakosanisha makabila
Kima angebaki hai ndo issue ingenoga na kima angejinyakulia umaarufu sana
 
Hawa jamaa wanahitaji Maombi sana yani kitu cha kukaa mezani na kuyamaliza mpaka vifaru na Mizinga?Sipati picha uyo Kima alikula kichapo gani unaeza pata hata walimrushia Kombora aisee

Inaonekana kuna Chuki kali sana ndani ya Mioyo Ya Walibya walioharibu nchi wamekimbia wakila Kuku na Mrija wasio na hatia ndo wanapata shida.
 
...

Unakumbuka yale ya mtoto mdogo kumtuhumu mtoto mwenzie? Unakumbuka reaction yake? Ugomvi wa kima huko Libya una tofauti gani na tuhuma za yule mtoto kwa mwenzie?

Naomba nitofautiane na wewe hapo kwenye red; sio Libya tu; bali kuna mafundisho ya ajabu yamejaa mioyo ya wanadamu ambayo kwayo chuki, visasi, husda, mauwaji, n.k. ni sehemu ya mafundisho hayo. Yaani kuna wengine ukiwatazama tu usoni, hata kama hajasema chochote, unaona jinsi nyuso na mioyo yao ilivyo na chuki! Na bahati mbaya, mafundisho na chuki hizi wala hazichagui; zikizuka hata wenyewe kwa wenyewe wanamalizana kama wanyama wasio na akili!
 
Back
Top Bottom