Hii wiki Kim Kardashian aliweka picha mpya za mtoto wake Nori West kwa mtandao wake wa Instagram. Picha hio ilikuwa tofauti na zile nyingine huku ikikisiwa kuwa Kim Kardashian amemfanya waxing mtoto wake.
Picha aliyoiweka Kim ilimuonyesha mtoto Nori akiwa na Kope nyeusi zaidi ukilinganisha na zile picha zake za awali alizokuwa akiweka kwa mtandao.
Kujibu tetesi hizo,, Kim alikuwa mkali huku akimsifu mtoto wake kuwa yeye ni Natural Beauty na kope zake nyeupe kwa mtandao wake wa Twitter.
Hana shida...Kim analipwa kwa kuleta tetesi kwa mitandao...so kumpaka mtoto wake vipodozi alijua ataweka hisia flani kwa mafans wake...c waelewa tena mambo na design ya Wema Sepetu hiv