Kilwa kivinje

Kilwa kivinje

Nimeshawahi kufika Kilwa Masoko lakini Kivinje sijawahi kufika.Nikiwepo pale waliniambia kivinje kuna majengo mengi sana ya kihistoria na kumbukumbu mbalimbali lakini siku sikia kuhusu Pyramid. Labda ndugu zetu wamatumbi waje watuelezee vizuri kuhusu hili.
 
Lengo la maelezo yote hayo tujue ushafika kilwa ama?
 
Duh!Akhsante mkuu, nilifikiri nasaidia katika hoja iliyoletwa kumbe ndiyo umeipokea kwa mtazamo huo? Kwani kufika Kilwa ni kitu cha kujivunia? Sijui umeamka na hangover wewe?
 
Back
Top Bottom