Kilosa Yatosha

Kilosa Yatosha

Emmanuel Luoga

Senior Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
111
Reaction score
29
Mpaka Sasa campein Zimepamba Moto Wagombea Ubunge Kwa Ujumla Wao Wapo Watano Kwa Majina Ni Kama Ifuatavyo (1) Salvatory Sege (2) Msabaha Wa Marekani (3) Bahati Richardson (4) Hassan Msoma (5) Abasi Saad Kibiki Wote Wanafanya Kazi Za Chama Kwa Msaada Wa Mtia Nia Wa Jimbo La Mikumi Profesor Jay Na Ushind Wa Sm Umetuonyesha Hasira Za Wana Kilosa Zipo Wap? Tuna waahid Ushind Mapema Kabisa Lakin Kama Una Mtu Unae Mjua Anaishi Kilosa Mwambie Yeye Na Rafiki Zake Au Familia Yake Wasikose Kujiandikisha na Kwenda Kuichagua Ukawa..... Asante Sana
 
Ahsante sana mkuu.... Ila wasilete mpasuko ndani ya ukawa
 
Back
Top Bottom