Kilosa leo: Hii ni sawa na kusema bomu lililolengwa kwa adui limeangukia uraiani kwa mrusha bomu!

kantasundwa

JF-Expert Member
May 25, 2020
823
1,000
Kuwe na Tume huru ama iliyopo kwa sasa lazima tutashiriki hvyo hvyo tu na tutashinda acheni kuwakatisha wananchi tamaa bhana...hawa jamaa wanachokifanya ni kutukatisha tamaa tu lkn uchaguzi utakuwa Kama wa miaka yote...maumivu ya chaguzi iliyopita ya s/mitaa ccm hawatayarudia tena..kilichowakuta hawatataka tena kurudia upumbavu ule...nenda kapige kura ushindi upo
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
10,790
2,000
Woga umekuwa utamaduni wa ‘wadanganyika’ wa Tanzania, ambo ndo walio wengi. Hata hivyo, maumivu yakiendelea kwa muda mrefu, uvumilivu na woga hatima vitafikia mwisho na hakuna askari au risasi zitakazotosha kudhibiti nguvu ya umma uliochoka!
I pray you are right!
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
10,790
2,000
Kuwe na Tume huru ama iliyopo kwa sasa lazima tutashiriki hvyo hvyo tu na tutashinda acheni kuwakatisha wananchi tamaa bhana...hawa jamaa wanachokifanya ni kutukatisha tamaa tu lkn uchaguzi utakuwa Kama wa miaka yote...maumivu ya chaguzi iliyopita ya s/mitaa ccm hawatayarudia tena..kilichowakuta hawatataka tena kurudia upumbavu ule...nenda kapige kura ushindi upo
hawa wa sasa ni tofauti sana na wa huko nyuma ndugu..... hawa hawatajali kama damu za watu zimwagike au la.

kama wananchi tumejiandaa kwa hilo, then maybe (just maybe) upo sahihi.
 
kantasundwa

JF-Expert Member
May 25, 2020
823
1,000
hawa wa sasa ni tofauti sana na wa huko nyuma ndugu..... hawa hawatajali kama damu za watu zimwagike au la.

kama wananchi tumejiandaa kwa hilo, then maybe (just maybe) upo sahihi.
Mkuu hakuna mtawala wa kiafrika yuko tayari kuachia madaraka bila shuluti, bila kujitokeza kwenda kupiga kura bc tukubari kutawaliwa milele ..hata huko Kenya na malawi tume haikuwa kz rahisi..wangesusa unafikiri hayo yangetokea??? Jibu ni hapana , tuhamasishe watu wakapuge kura ili mengine yafuate...tuache kbs hz porojo za eti kususa ndo kutasaidia ...mm nitapiga kura na nitailinda ...
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
10,790
2,000
Mkuu hakuna mtawala wa kiafrika yuko tayari kuachia madaraka bila shuluti, bila kujitokeza kwenda kupiga kura bc tukubari kutawaliwa milele ..hata huko Kenya na malawi tume haikuwa kz rahisi..wangesusa unafikiri hayo yangetokea??? Jibu ni hapana , tuhamasishe watu wakapuge kura ili mengine yafuate...tuache kbs hz porojo za eti kususa ndo kutasaidia ...mm nitapiga kura na nitailinda ...
hakuna anayeongelea kususa.
tunaongelea kipaumbele kiwe tume huru.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
30,867
2,000
Mnapeleka mawakala ambao hata barua ya utambulisho toka mwenyekiti wa mtaa hawana. Hapo mnatarajia nini? Habari ya tume kunajisi matokeo ni uongo maama taratibu na sheria huwa zinafuatwa. Jambo ambalo gumu kwako ni kukubali kuwa Ccm inakubalika kwa wananchi maana inatekeleza ilani yake inavyotakiwa.
Barua kutoka kwa mwenyekiti wa mtaa ina ugumu gani? Au unadhani ni visa ya kwenda US nini? Nikikuambia kuwa matokeo yananajisiwa sina shaka na ninachokuambia boss. Kuna wanaoikubali ccm hilo sikatai, lakini hakuna uwezekano wa ccm kushinda tena kwa zaidi ya 60% kwenye uchaguzi usio na figisu. Hilo halijalishi imetekeleza ilani yake ama la. Kumbuka ilani ni matakwa ya ccm, na wala sio lazima yawe matakwa ya wananchi.
 
chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
4,450

Kwa nini Ccm isishinde kwa zaidi ya 60% wakati imetekeleza ilani yake ya uchaguzi kwa zaidi ya 90%? Huu ni mwaka Ccm itapata ushindi wa kishindo.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
30,867
2,000
Kwa nini Ccm isishinde kwa zaidi ya 60% wakati imetekeleza ilani yake ya uchaguzi kwa zaidi ya 90%? Huu ni mwaka Ccm itapata ushindi wa kishindo.
Ilani ya ccm ni vigezo ilivyojiwekea kufanya iwapo itapewa dola. Ila haimaanishi kuwa ndio mahitaji halisi ya wananchi. Ccm wanaweza kupata 90% hata mia, ila kwa aina na idadi gani ya wapiga kura? Iwapo kutakuwa na tume huru ya uchaguzi, ccm haina uwezo wa kupata zaidi ya 60%. Watu huchagua chama kwa zaidi ya ilani. Labda kama hujui vitu vinavyofanya watu wachague kwenye box la kura.
 
chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
4,450
2,000
Ilani ya ccm ni vigezo ilivyojiwekea kufanya iwapo itapewa dola. Ila haimaanishi kuwa ndio mahitaji halisi ya wananchi. Ccm wanaweza kupata 90% hata mia, ila kwa aina na idadi gani ya wapiga kura? Iwapo kutakuwa na tume huru ya uchaguzi, ccm haina uwezo wa kupata zaidi ya 60%. Watu huchagua chama kwa zaidi ya ilani. Labda kama hujui vitu vinavyofanya watu wachague kwenye box la kura.
Acha kujichetua, chama kinachaguliwa sababu kimetekeleza ilani yake inavyotakiwa .
 
Bungua

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
566
500
Chief know you haven't contributed to more than just insulting me, now how will we know your ability to think without contributing anything
Remain silent and nobody will ever know that you're a fool. Paul, we know you're silly because of your contributions from a fool's mouth! You better keep mum and people might think you're wise. I dare not insult you, you're insulted by your foolish contributions!
 
Bungua

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
566
500
Acha kujichetua, chama kinachaguliwa sababu kimetekeleza ilani yake inavyotakiwa .
Leo naharibu kiapo changu. Niliapa nisipoteze muda na Chagu. Michango yako ni ya hovyo sijapata kuona. Lakini mjibu mpumbavu kulingana na upumbavu wake. Ni mzandiki tu anaweza kusema kuwa CCM ilichaguliwa 2015! Dunia nzima inajua chaguo la watu lilikuwa lipi. Hata CCM wenyewe wanajua walikuwa wanawaomba wapiga kura wachague JPM. Kwa hesabu kwamba akichaguliwa huyo CCM ndio kinakuwa chama tawala. Kwani 2015 CCM ilikuwa imetekeleza ilani gani? Kabla ya hapo bwana uwazi Mkapa alitamka bila ya kumung'unya maneno kuwa ilani ya CCM haitekelezeki!
 
Sasa wewe si bora ungekaa kimya maana bichwa lako limejaa manailoni.
Kama ilani ya Ccm haitekelezeki unataka kusema awamu ya nne hakuna miradi ya maendeleo iliyofanyika? Unataka kusema awamu ya tatu hakuna miradi ya maendeleo iliyofanyika?
 
Kweli, asiyejua maana haambiwi maana. Huo ndio mwisho wa kufikiri kwako?
 
Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
5,009
2,000
Nashangaa wapinzani wa kweli kujiandaa kushiriki uchaguzi ambao ni dhahiri shairi ccm haiko tayari kukubali kupoteza. Ilipaswa kelele iwe ni tume huru ya uchaguzi, mpaka wanaojiandaa kuchezea uchaguzi wajue hali ni mbaya.
Ruzuku mkuu, pesa pesa.....uchaguzi ni muda wa kupika hesabu za fedha za ruzuku!
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
18,910
2,000
Hapo hamna lolote, mpango ulisukwa kuja kumsafishia njia Kabudi, Yule mbunge nafikiri alijua njama hizi na ndiyo maana hata mkutanoni hakuwepo maskini.

Hii ndiyo raha ya kuwa CCM, sasa mwenzagu mie huyu Mbunge mstaafu hakuna haja tena ya hata kuja kutangaza nia...tayari jimbo lina mgombea wa CCM tayari.

CDM imewasaidia makada wengi sana wa CCM wanapofikwa na maswaibu haya, ila huwa hawana shukrani.... sasa awamu hii hawa wote wapambane na hali zao, Kama haupo team Mwenyekiti wewe tafuta kazi ya kufanya wala usihangaike kujaza maform utajichosha.

MBUNGE WA KILOSA MJINI ACHANGIA VIFAA KUDHIBITI CORONA
 
Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
1,301
2,000
Inavyoonyesha ni kuwa huyu kiongozi mkuu for some reason alikuwa misled (or wrongly selfled) kuwa mbunge wa Kilosa ni wa kutoka Chadema.

Kuna uwezekano mkubwa kachanganya madesa - akidhani ni jimbo la Mikumi (la Chadema) ambalo lipo in proximity with lile la Kilosa (la chama chetu CCM).

Bomu likaangukia uraiani - sasa kazi ikawa awaokoe vipi wahanga. Ikabidi ipigwe "CCM oyee" ya nguvu na ahadi kutolewa papo kwa papo.

By the way sikujua kampeni zimeanza. Na pia nilikuwa sijui kama kiongozi wa nchi akiwa kwenye ziara ya kiserekali anaruhusiwa kisheria kushabikia chama chake. Hii ipo Tanzania tu.

Tukutane #BagonzaWhite77.

View attachment 1492554
Akome
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom