Usichanganye matukio, kilichotokea Kibamba hadi Mnyika kutangazwa kilikilua kiondoke na maisha ya Watu. Subiri kama Wananchi watakubali huo upuuzi wa CCM mwkaa huuwalimuua binti yetu Aquiline masikini, lakini hakuna mwananchi hata mmoja aliyesema fyoko!
Kumsafisha mtu aliyejimwagia kinyesi kwa makusudi inahitaji kujitoa ufahamuHivi unadhani kwamba CCM wote ni wazuri!!! Ni Lugha tu ya kuwasema hata walioko CCM kwamba na wao pia ni wabovu
Kwan maalim seif baada ya kususa kitu gan kimetokea mkuu....siku zote shetan ana nguvu ingia uringoni ukimsubiri pastor
Hivi unadhani kwamba CCM wote ni wazuri!!! Ni Lugha tu ya kuwasema hata walioko CCM kwamba na wao pia ni wabovu
Mkuu ukiangalia upinzani watadai Tume Huru kweli. Mie naona kama tupo tupo tu!bila tume huru, hakuna hata mgombea ubunge atakayeshinda kutoka Chadema wala ACT. huo ndiyo ukweli. watapita mapandikizi tu wa NCCR na CUF.
FACT.
kwamba eti vyama vitalinda kura baada ya polling ni kujidanganya. hakuna DED atakayekuwa tayari kuona kibarua chake kinaota nyasi - never!
tukumbuke kilichotokea uchaguzi wa marudio Kinondoni.
Baba Askofu Bagonza kaona mbali.
tukutane #BagonzaWhite77!
Ficha ujinga ndugu yangu, jisifie mambo ya maana!!Kibeberu ukijui ndiyo maana umeboresha unavyofikiria wewe ass si sawa na asshole!
Watawatumia mamluki akina mbatia...awam hii wameinvest kwenye uongoMkuu naongelea mambo mawili tofauti, Maalim Seif hakuwa anadai tume huru ya uchaguzi, yeye aliporwa ushindi. Sasa kuingia bila kuwa na tume huru uchaguzi, ni kuhalalisha kuporwa kimachomacho. Kinachotakiwa ni kupiga kelele ya ukweli kuhusu tume huru ya uchaguzi, ili kuutia shombo huo uchaguzi.
Watanzania hawa hawa tunaowajua au wapo wengine? haya bana - yetu macho na masikio!Usichanganye matukio, kilichotokea Kibamba hadi Mnyika kutangazwa kilikilua kiondoke na maisha ya Watu. Subiri kama Wananchi watakubali huo upuuzi wa CCM mwkaa huu
Bado tuna safari ndefu sana kwakweli.
Wallah nakwambia mwaka huu hahahaha Tuombee sana uchaguziWatanzania hawa hawa tunaowajua au wapo wengine? haya bana - yetu macho na masikio!
Mkuu ukiangalia upinzani watadai Tume Huru kweli. Mie naona kama tupo tupo tu!
Wapinzani viongozi hawaoni Tume Huru ni muhimu naona nao wanaanza kampeni akina nccr cuf wako bega kwa bega na watawala
Kwakweli mimi navyoipenda ccm,,bora waniuwe tu,Hakuna pia Polisi atakayekubali auwawe na Wanachi Kisa upuuzi wa mtu
Kwa kutumia green guardKwakweli mimi navyoipenda ccm,,bora waniuwe tu,
Chief know you haven't contributed to more than just insulting me, now how will we know your ability to think without contributing anythingUmerudia jina la Paul Sylly. Reasoning capacity sifuri!