Kilosa leo: Hii ni sawa na kusema bomu lililolengwa kwa adui limeangukia uraiani kwa mrusha bomu!

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,203
23,020
Inavyoonyesha ni kuwa huyu kiongozi mkuu for some reason alikuwa misled (or wrongly selfled) kuwa mbunge wa Kilosa ni wa kutoka Chadema.

Kuna uwezekano mkubwa kachanganya madesa - akidhani ni jimbo la Mikumi (la Chadema) ambalo lipo in proximity with lile la Kilosa (la chama chetu CCM).

Bomu likaangukia uraiani - sasa kazi ikawa awaokoe vipi wahanga. Ikabidi ipigwe "CCM oyee" ya nguvu na ahadi kutolewa papo kwa papo.

By the way sikujua kampeni zimeanza. Na pia nilikuwa sijui kama kiongozi wa nchi akiwa kwenye ziara ya kiserekali anaruhusiwa kisheria kushabikia chama chake. Hii ipo Tanzania tu.

Tukutane #BagonzaWhite77.

Your browser is not able to display this video.
 
bila tume huru, hakuna hata mgombea ubunge mmoja atakayeshinda kutoka Chadema wala ACT. huo ndiyo ukweli. watapita mapandikizi tu wa NCCR na CUF.

FACT.

kwamba eti vyama vitalinda kura baada ya polling ni kujidanganya. hakuna DED atakayekuwa tayari kuona kibarua chake kinaota nyasi - never!
tukumbuke kilichotokea uchaguzi wa marudio Kinondoni.

Baba Askofu Bagonza kaona mbali.
tukutane #BagonzaWhite77!

Zitto John Mnyika CHADEMA Chadema Diaspora ACT Wazalendo
 
Sasa yule mwarabu na Chadema wana tofauti gani?
 
Hakuna pia Polisi atakayekubali auwawe na Wanachi Kisa upuuzi wa mtu
 
Nchi ya vilaza waliotukuka duniani
 
Andika vizur iwekwe kwenye ilani tuanze kuinadi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unadhani kwamba CCM wote ni wazuri!!! Ni Lugha tu ya kuwasema hata walioko CCM kwamba na wao pia ni wabovu
 

Nashangaa wapinzani wa kweli kujiandaa kushiriki uchaguzi ambao ni dhahiri shairi ccm haiko tayari kukubali kupoteza. Ilipaswa kelele iwe ni tume huru ya uchaguzi, mpaka wanaojiandaa kuchezea uchaguzi wajue hali ni mbaya.
 
Nashangaa wapinzani wa kweli kujiandaa kushiriki uchaguzi ambao ni dhahiri shairi ccm haiko tayari kukubali kupoteza. Ilipaswa kelele iwe ni tume huru ya uchaguzi, mpaka wanaojiandaa kuchezea uchaguzi wajue hali ni mbaya.
Kwan maalim seif baada ya kususa kitu gan kimetokea mkuu....siku zote shetan ana nguvu ingia uringoni ukimsubiri pastor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…