M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,020
Inavyoonyesha ni kuwa huyu kiongozi mkuu for some reason alikuwa misled (or wrongly selfled) kuwa mbunge wa Kilosa ni wa kutoka Chadema.
Kuna uwezekano mkubwa kachanganya madesa - akidhani ni jimbo la Mikumi (la Chadema) ambalo lipo in proximity with lile la Kilosa (la chama chetu CCM).
Bomu likaangukia uraiani - sasa kazi ikawa awaokoe vipi wahanga. Ikabidi ipigwe "CCM oyee" ya nguvu na ahadi kutolewa papo kwa papo.
By the way sikujua kampeni zimeanza. Na pia nilikuwa sijui kama kiongozi wa nchi akiwa kwenye ziara ya kiserekali anaruhusiwa kisheria kushabikia chama chake. Hii ipo Tanzania tu.
Tukutane #BagonzaWhite77.